Kodi ya bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi inayotozwa wakati wa kuzalisha (sio wakati wa kuuza)Excise ni nini? hasa katika kodi? Usinambie google!
Ila defination yangu ni shallow sana. Tusibiri wataalam wa tax waje. Ina maana pana...Excise ni nini? hasa katika kodi? Usinambie google!
ubarikiwe, nilkuwa nasoma kesi hii nikakwama def. ndogo ndogoKodi ya bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi.
Ni mazoezi, kodi ya mazoezi. Si unakumbuka Magufuli alipiga push up? Aliashiria kodi ya mazoezi🙂🙂Excise ni nini hasa katika kodi? Usinambie google!
Excise ni nini hasa katika kodi? Usinambie google!
This presentation is below your anticipated dignityNi mazoezi, kodi ya mazoezi. Si unakumbuka Magufuli alipiga push up? Aliashiria kodi ya mazoezi🙂🙂
Google tuu......maana hata mm sijui nta google.Excise ni nini hasa katika kodi? Usinambie google!
Excise ni nini hasa katika kodi? Usinambie google!