Excellentcom Tanzania Ltd (Hits Tanzania) - Imerudi tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Excellentcom Tanzania Ltd (Hits Tanzania) - Imerudi tena

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SHUPAZA, Aug 23, 2010.

 1. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna taarifa inayoelezea hawa majamaa kampuni la mawasiliano Hits-Tanzania
  limerudi baada ya kubaniwa na TCRA na kukwama kutokana na mfulio wa uchumi
  wa dunia linataka ku-resume sercive zake bongo mdau mwenye info zaidi tunaomba
  alete hapa.
   
 2. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jana walionekana kwenye taarifa ya habari wakizindua kampuni yao.
  Nadhani wameshajipanga vya kutosha kuweza kupambana.
  Soko la Tanzania la mawasiliano likua kwa kasi sana, if they paly their cards right, watafanikiwa.
   
Loading...