Excellent Again. ***********

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Jamaa kakutana na Mrembo mzuri wa aina yake njiani,akamwambia naomba ning'ate chuchu zako kwa shilingi elfu moja
mrembo akamjibu we mjinga nini?ebu usinisumbue,halafu akamwacha.
Jamaa akamkibilia tena na kumwambia,naomba ning'ate chuchu zako kwa shillingi laki moja,
Mrembo akamjibu...pumbavu wewe,unadhani mi mtu wa kuchezewa huo ujinga?then akamwacha jamaa tena.
jamaa akamkibilia tena kwa nyuma na kumwambia,naomba ning'ate chuchu zako kwa shilingi milioni moja,
mrembo akamjibu...ebu ni ache,we mshenzi mkubwa,halafu akamwacha tena.
jamaa akamkimbilia tena na kumwambia,hii ni mara ya mwisho,naomba nikung'ate chuchu kwa milioni kumi.
Mrembo akamwambia,haya unag'ata kidogo tu,twende chini ya ule mti wenye giza.
Walipofika chini ya mti demu akavua brazia na akampa jamaa ang'ate.
Mrembo akashangaa jamaa akaanza kuzishika kwa mikono yake,kuzitingisha,kuzibusu,kuzikiss taratibu bila haraka,
kuzinyonya pole pole.
Mrembo akakasirika na kumwambia..pumbavu wewe,mshenzi kweli,unazing'ata au hung'ati?
Jamaa akamwambua.....daah hiyo bei ni kubwa mno sing'ati tena nimeahirisha.
 
Tamaa mbaya, alikuwa anaelekea kumegwa bure
 
Ila me cjacheka sanaa kiviliieeee....2po pa1 ila 2songe mbele bana cku ziende.
 
Dah mim nimefurahishwa na signature yako mkuu...umenikumbusha mbali sana

 

shosti alikuwa amepigia mahesabu ya starlet fasta kumbe hamna lolote..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…