Asante sana ndugu "Pizz", QuickBook ni Tshs. 350,000/= pekee ni masaa mawili kwa siku kwa wiki mbili.
Ukimaliza utapata cheti na utapata miezi mi3 ya free consultant. pale utakapo kwama sehemu yoyote kazini ndani ya miezi mitatu tukakua kazi.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie:training@comskills.co.tz
tembelea:
www.comskills.co.tz