Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Madarasa yanaendelea kila jumatatu, mwenye uhitaji anawezafika ofisini kwetu na tutampa utaratibu, na kama una kampuni unataka wafanyakazi wako wapewe ujuzi zaidi kwenye nyanja hii unakaribishwa pia.
Karibuni sana
 
Ni elimu nzuri. Izunguke mikoani, iwe kwa kila makao makuu ya mkoa, kuna andaliwa hilo funzo. Mkijipanga mnaweza, ni kama fiesta au mwenge tu.
 
Asante sana ndugu,"ArD67" wazo lako ni zuri sana na linatupa faraja kubwa sana. Kwa mwaka huu tumepanga kwenda mikoa ya Arusha, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa kuanzia.
Tunatanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri.
Asante sana
 
Madarasa yanaendelea kila jumatatu, mwenye uhitaji anawezafika ofisini kwetu na tutampa utaratibu, na kama una kampuni unataka wafanyakazi wako wapewe ujuzi zaidi kwenye nyanja hii unakaribishwa pia.
Karibuni sana
 
Asante sana ndugu,"ArD67" wazo lako ni zuri sana na linatupa faraja kubwa sana. Kwa mwaka huu tumepanga kwenda mikoa ya Arusha, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa kuanzia.
Tunatanguliza shukrani kwa mawazo na ushauri.
Asante sana
Fanyeni hivyo, kuna watu wangependa kupata hizi fursa lakini muda kikazi unawabana, hawawezi safiri kwenda hata kwenda ktk mikoa jirani. Ikiwa ni kila mkoa na kwa ratiba maalumu, wengi watahudhuria.
 
Asante sana ndugu kwa ushauri na tutautendea haki ipasavyo.
 
Kwa wale wa mikoani tumewasikia na tunawajia ;
1.Mbeya
2.Arusha
3.Dodoma
4.Mwanza.
Kama upo mikoa tajwa hapo juu, waweza anza kuziweka kidogo kidogo na kumshitua na mwanzako.mana si ya kukosa hii.Tupigie:0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibu sana, tuongeze ujuzi na zidisha ufanisi.
 
Kwa wale wa mikoani tumewasikia na tunawajia ;
1.Mbeya
2.Arusha
3.Dodoma
4.Mwanza.
Kama upo mikoa tajwa hapo juu, waweza anza kuziweka kidogo kidogo na kumshitua na mwanzako.mana si ya kukosa hii.Tupigie:0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibu sana, tuongeze ujuzi na zidisha ufanisi
 
Kwa wale bigginers vipi ???
Wanaotaka kuimaster Excell
Asante sana ndugu "THOMASS SANKARA",kwa wale bigginers kabisa kwenye excel, tunatoa pia na kozi yao hiyo inaitwa
Basic & Intermediate Excel for Professional
Muda: Wiki moja ( 10hrs= 2hrs/day)
Content: Simple Data Manipulations,Analysis & Reporting
Fees: 200,000/=
Award: Certificate of attending.
Kama una la kuuliza naomba uwasiliane nasi kwa;
simu: 0717 718519 | 022 270 1320
email: training@comskills.co.tz
tembelea: www.comskills.co.tz

NB: Unapolipa ndo unaanza darasa, tupo flexible as tunafungua asubuh saa 11 mpka saa 3 usiku.
Karibuni sana
 
The computer skills
Samahani mwisho wa excell ni wapi ?

Na nested vlookup mnafundisha beginner au advanced
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom