Asante ndugu "divisiblebyzero", tunaifanyia marekebisho makubwa. Soon itakuwa hewani kwa mwonekano mpya zaidi.website haipatikani mkuu nini tatzo
Asante sana ndugu "Ziloi",utaratibu wetu ni rahis mno. Ni kulipia kozi tajwa na kupanga ni lini na muda gani unaitaji kusoma, kama ni baada ya muda wa kozi kutangazwa. Madarasa haya ni endelevu kwa muda wowote unapo itaji kujiunga.Mkuu nahitaji kusoma Tally ERP NA QuickBooks kuanzia mwezi wa nane mwaka huu. Vipi utaratibu upo vipi na mkitoa cheti chenu kinatambulika
ERPNEXT VIP COURSES
Japo uzi sio wangu, ila natoa service ya ERPNext training pamoja na Implementation. unaweza nichek PM kwa mawasiliano zaidiHii ni package pia full accounting, hr,sales na kadhalika nilitaka kujua kama nayenyewe training yake kama mnayo chief
Asante sana ndugu "Gwallo",kwa sasa bado hatujafungua ofisi huko.Sema tutaendesha training ya Advanced Excel for Professional walau moja kwa mwaka huu.Mkuu mmefanikiwa kufungua office Arusha au bado mko Dar tu??
Mkuu na ikiwa mtu anataka kujifunza Power BI tu?Kwa wale watumiaji wa Excel upande wa Power BI- Nayo utagusiwa kidogo japo ni somo linalo jitegemea.
Hii ni mahususi sana kwa watu wanaofanya Big Data Analytics.
Karibuni sana.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuma: training@comskills.co.tz
Boss unaweza kunisaidia PDF ya hicho kitabuKaribu sana ndugu "Ifururu", kwa mtu ambaye hajui kabisa tunamshauri asome kozi hii;
Basic Computer Knowledge
Module:
-Introduction to IT with Windows 10
-Introduction to Microsoft Word 2016
-Introduction to Microsoft Excel 2016
-Introduction to Microsoft Power Point 2016
-Internet & Email
Kozi huchukua muda wa wiki tano (5) masaa mawili kwa siku [Jumatatu - Ijumaa] kuna madarasa ya wikiend pia.
Ada ni 200,000/= [Mafunzo + Kitabu cha rangi + flash Disk (8GB) ]
Madarasa yanaanza kila siku, karibu sana.
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandike: training@comskills.co.tz
Asante sana ndugu "OG12", tunataman sana kukusaidia. Lakini tungekushauri uje kusoma ili upate ujuzi zaidi na uelewa mkubwa wa yale yaliyomo kwenye kitabu chetu pendwa. Itakusaidia sana kwenye nyanja nzima ya ICT.