Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Kwa watu wa Public Adminstration in records kwenye package ya excel inakuwaje. Yani nasoma nin na nini
Asante na karibu sana ndugu "talnam", excel ni cut across application software ambap ukielewa utaweza itumia kulingana na maitaji yako husika.
Muhim kujua ni:
Excel inafanya kazi kubwa ya data;
(i) Kuingiza /Kuhifathi data
(ii) Kuchakata data- Data processing
(iii) Reporting
(iv) Analysis of the data.
Public Administration walio wengi tulio wafundisha wameitumia Excel kwenye;
(a) Kutengeneza Budget kazini kwao
(b) Kutengeneza kalenda ya mwaka kwa wafanyakazi wao, kujua ni lini na wafanyakazi wangapi wanapaswa kwenda likizo
(c)Kutengeneza KPI za wafanyakazi hapo kazini kwao.
Hivyo ni vichache sana ndani ya excel.

Excel iko so powerfull, ni uwezo wako tuu wa kumaster ndo unaweza kufanya vitu viwe lain kazini.
Karibu sana.
Tupigie: 0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie:training@comskills.co.tz

"We train, You Change the World"
 
Madarasa mapya yametangazwa..waweza lipia sasa kuweka nafasi yako. Karibuni nyote.
Kwa lolote;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibuni sana.
Ongeza ujuzi, lete ufanisi
 
Niwashauri!Kwanza mtengeneze wigo mpana wa netrlworking,anzisheni channels za Masomo yenu,kule telegram na kwingineko!Watu wakishapima uwezo wenu ni rahisi kuja wao au hata ndugu na jamaa!
 
Niwashauri!Kwanza mtengeneze wigo mpana wa netrlworking,anzisheni channels za Masomo yenu,kule telegram na kwingineko!Watu wakishapima uwezo wenu ni rahisi kuja wao au hata ndugu na jamaa!
Asante sana ndugu, "Soso J" ushauri wako ni muhim sana kwetu. Tumeuchukua na tutaufanyia kazi.
Asante na karibu sana.
 
Hii ni package pia full accounting, hr,sales na kadhalika nilitaka kujua kama nayenyewe training yake kama mnayo chief
Ok shukrani sana,hii hatujawahi itrain hapa kwetu kwa maana ya kuwa matumizi yake kwa hapa nchini yanakuwa madogo sana. Lakini maombi yanakaribishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom