Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 325
- 235
Kipo dar kijito nyama.IHET>instute of heavy equipment training.magereda yote unayoyajua wanafundishwa hapo mkuu.mfano mafunzo ya kuopareti excavator ni kwa muda wa miezi 2.ada ni 840000.hostel 170000.japo south Africa wanasoma siku 7.Ni chuo gani na kinatoa kozi zipi?