Excavator operator(30 vacancies)

Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,205
2,000
Excavator operator(30 vacancies) DOHA QATAR, Expires on: march 17, 2013. Agency name:KAN-YA INTERNATIONAL SERVICES CORP. Qualifications:-Gender-male, Age 25-45years old, Education-atleast vocational Diploma/Short course certificate, Experience 3years of Excavator ton 75, operation and front end loaders ton 80, please email your resume at tl.starwold@gmail.com
 
KYALUMUKUNZA

Senior Member
Aug 19, 2012
145
0
mkuu kwanza asante kwa nafasi za kazi ila nakushauri kama ifuatavyo;
1.wengi wa madereva wazuri wa kazi ulizotangaza hawana vyeti na elimu yao ni ya chini sana kama darasa la saba au
kidato cha nne aliefeli.
2.wengi wao hawatumii mitandao kama jamii forum.
3.nakushauri ondoa kigezo cha vyeti ili upate maoperator wazuri na waliobobea mimi mwenyewe kuna vijana kama wawili
nawajua wanatisha kwenye kazi hiyo ningeweza kukuunganisha nao naishia hapa.
 
Crucial Man

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
3,405

yaaani akiondoa kigezo cha vyeti nampa watatu fasta.wapo wengi sana huku migodini laking vyeti ndio ishu.
 
Kibagata

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
773
250
Mkuu ukickia MineBoy hakuna haja ya vyeti huko migodini maake kazi kama hizo za Excavator au front roader kuna chuo chake wapi hapa nchini ndo uulizie vyeti. Nyie wafanyieni interview ya vitendo uone vipaji ukianza longolongo la vyeti utapata operators fake Mkuu.
 
Crucial Man

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
3,405
2,000
huko migodini waliingia bila vyeti?

mkuu migodini hawajali vyeti kwa mine boys,so long as unaweza kusoma na kuandika wanakuchukua na kuku train,kuna kitu kinaitwa (OJT) on job training?. Hapo wanakutrain mpaka unakuwa international miner.mambo ya vyeti peleka huko admin sio kwenye operations.bongo hatuna chuo cha heavy equipment trainings,wapi wanafundisha jumbo operation,au longhole drillers mkuu.
 
Nov 11, 2012
31
0
realy cheti hakifanyi kazi kazi anafanya m2 , wangapi wana vyeti vya kufoji ita watu vigezo kama vyeti viondoe wapi machine wakuonyeshe kazi zinavyofanywa
 
Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,205
2,000
mbona hiyo email vijana wanasema sio valid email address. mkuu Heavy Equipment

watu bwana mtu akipiga kazi nnje asipowaarifu wabongo wenzie utasikia ''ooho watu wa binafsi'' ukiwapa watu habari unaambiwa '' email valid'' hebu nakuomba uhakikishe mwenye ingia kwenye google uandike Excavator jobs update uone utalewa nini?
 
Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,205
2,000
mkuu migodini hawajali vyeti kwa mine boys,so long as unaweza kusoma na kuandika wanakuchukua na kuku train,kuna kitu kinaitwa (OJT) on job training?. Hapo wanakutrain mpaka unakuwa international miner.mambo ya vyeti peleka huko admin sio kwenye operations.bongo hatuna chuo cha heavy equipment trainings,wapi wanafundisha jumbo operation,au longhole drillers mkuu.

ingia kwenye google, tupia Excavator jobs update na chukua email za hayo makampuni waandikie barua uwaambie bongo maoperator wapo ila vyeti hawana na wao watakurudishia majibu mkuu
 
Lwamadovela

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
305
250
mkuu migodini hawajali vyeti kwa mine boys,so long as unaweza kusoma na kuandika wanakuchukua na kuku train,kuna kitu kinaitwa (OJT) on job training?. Hapo wanakutrain mpaka unakuwa international miner.mambo ya vyeti peleka huko admin sio kwenye operations.bongo hatuna chuo cha heavy equipment trainings,wapi wanafundisha jumbo operation,au longhole drillers mkuu.
Chuo kipo mkuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom