Wameitwa mkuuMmeitwa?
Taasisi gani?Wameitwa mkuu
Ngoja waje Mkuu kama mmeitwaMwenye Uzoefu wa maswali ya written kada ya examination officer msaada please.
Hii itakuwa tengeru bila shaka ile ya kwaza kwa watumishi wa umma ambayo haikupitia ajira portalTaasisi gani?
Tengeru mkuuTaasisi gani?
Mkuu umefanikiwa kupata? maana kuna jamaa alisema kuna waliofanya mwaka jana 2021 ila kila akimtafuta huyo mhusika hapatikani alikuwa mmoja wao wa waliofanya written na oral interview.Mwenye Uzoefu wa maswali ya written kada ya examination officer msaada please.