Examination in China

Yes yes hiii ikiletwa Bongo, Mulugo na Kawambwa watapata division one zenye zero ndani yake
 
%90 wataacha shule maana kibongobongo duu majanga
 
Hii noma sana, wazee wa kudesa hapa lazima waende na maji...
 
Hapo dawa ni kuingia na kibuti chako tuu....
 
Yes yes hiii ikiletwa Bongo, Mulugo na Kawambwa watapata division one zenye zero ndani yake

mkuu kama umesoma shule za mission hiki kitu cha kawaida kabisa.
 
wanaita "gao kao " mtihani wa kujiunga na chuo.. wanapangiwa vyuo kutokana na ufaulu wao
 
Tena kibongobongo wapelekwe uwanja wa taifa wakafanyie humo
 
Hii inanikumbusha kipindi nipo Seminari kipindi mmeanza mitihani kuna Padri alikuwa anakupanga labda wewe mbele nyuma yako yupo jamaa wa six kulia kuna dogo wa form 1 kushoto kuna mdau wa five alafu wewe upo form 4..ukiaulizia jamaa wanapiga paper gani utakuta yule math,huyu chem mwingine hist wewe unapiga Geog ukimtafuta form 4 mwenzako hapo unakuta naye hali ileile..kwa hiyo itakubidi uwe unasoma tu kwa juhudi kuepusha shari uvuke wastani 60 usirudushwe home..
 
Umenikumbusha chuo mkuu, wazee wa kudesa... teh,teh,teh!!

Mkuu watu walikuwa wanatengeneza "Chain" zao... Hata invigilator hawapangue vipi lakini mwisho wa siku unakuta chain imejiunga tena. UDSM - B.Com walikuwa noma kwa style ya kutengeneza Chain za Kudesa, in short walishindikana....
 

Mkuu dah! Seminari noma, sisi tulikuwa tunafanyia exam bwaloni madarasa yote. Halafu mapadre wamesimama wima kama vile wanasimamia mtihani wa kuingia mbinguni, kichwani unawaza wastani wa 55%. For sure sintakaa nikasahau.
 

Huu ndo mtindo wa Chuoni sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…