Exam chief quits | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Exam chief quits

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by macinkus, Dec 14, 2008.

 1. m

  macinkus JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2008
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Braza letu la mitihani limekua na kashfa kem kem kwa muda mrefu sasa. mara mitihani imevuja, mara vyeti vimeibiwa. suluhisho la tatizo hilo hadi leo halijapatikana'

  wenzetu, matokeo ya mitihani imechelewa kutolewa. imebidi ajiuzulu. sijui lini tutakuja kufikia utumishi kwa umma ulio tukuka kama majuu. kweli waafrika ndivyo tulivyo. bofya hapo chini

  macinkus
   

  Attached Files:

Loading...