gambakhuffu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2010 Posts 564 Reaction score 616 Jun 5, 2016 #1 Habari wanajf, Nauliza kuna kituo cha mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu mjini iringa. Na kama kipo naomba maelekezo ni wapi maana mood ya pepaz imenirudia nataka nimalizia my CPA Nawasilisha
Habari wanajf, Nauliza kuna kituo cha mitihani ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu mjini iringa. Na kama kipo naomba maelekezo ni wapi maana mood ya pepaz imenirudia nataka nimalizia my CPA Nawasilisha