Exactly

Dr Mallesa

Member
Sep 8, 2013
21
5
a740f20e5e27c307af4f5d98df2a7b57.jpg
 
Kwa kiasi kikubwa kwa mazingira ya siku hizi kutafuta mchumba hakuhitaji nguvu kubwa kivile. Nimemwelewa Eric. Lakini kufananisha nguvu inayohitajika katika kutafuta utajiri na ile ya kutafuta mchumba katika kizazi hiki naona haijakaa vizuri sana.
 
Kila kimoja hapo kina maweko yake kwani wachumba tunatafuta kila siku?na kama anaongelea work done akiifananisha kati ya uchumba na utajiri pia kwangu sio sahihi.
 
Watu waliofanikiwa huwaona wasiofanikiwa ...wazembe,wajinga,hawana akil na vitu kama hyo.....we demu unapata ata kwa buku mbil utafananisha na pilika za maisha kwel?
 
Back
Top Bottom