Ex-Zambian leader's wife jailed. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ex-Zambian leader's wife jailed.

Discussion in 'International Forum' started by Nyambala, Mar 3, 2009.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ex-Zambian leader's wife jailed

  Frederick Chiluba is also on trial for corruption
  The wife of Zambia's former President Frederick Chiluba has been jailed for three-and-a-half years.

  Regina Chiluba was found guilty of receiving stolen state funds to buy three houses and a commercial property while her husband was in office.

  She married Mr Chiluba after he stood down in 2001, having served two terms.

  The BBC's Musonda Chibamba in Lusaka says Mr Chiluba, who is also on trial for corruption, shook his head as the magistrate read out his verdict.

  Weeping

  Our correspondent says Mrs Chiluba - usually a glamorous dresser - was wearing a simple traditional "Chitenge" outfit in court in the capital, Lusaka.

  These were serious allegations and were casually explained by the accused

  Magistrate Charles Kafunda

  She continuously mopped her face with a handkerchief during the two-hour judgement.

  Every available seat in the court was taken up and many more people stood at the back of the room while others blocked the door, our reporter says.

  A shocked silence filled the court when the conviction was read out.

  "These were serious allegations and were casually explained by the accused, and I now convict you accordingly and sentence you to three-and-half years simple imprisonment," AFP news agency quotes Magistrate Charles Kafunda as saying.

  Some relatives began to silently weep and had to be helped out; others began to sing Christian songs, our correspondent says.

  Soon after judgement was passed, a court clerk took Mrs Chiluba's fingerprints while the former president joined her in the dock.

  She was then led to a waiting car and driven to the Lusaka Central Prison to begin her sentence.

  The court ordered that all the properties in question be forfeited to the state.

  Her lawyer has indicated that he will appeal against the sentence in Lusaka's High Court.

  Mrs Chiluba was also convicted of receiving a television set that the prosecution proved belonged to the state and for failing to explain how she came to have nearly $100,000 in her personal bank account.

  Her husband, whose immunity from prosecution was lifted in 2003, denies stealing millions of dollars of state funds.

  Levy Mwanawasa, who launched a high-profile campaign after succeeding Mr Chiluba in 2001, died last year.

  President Rupiah Banda has promised to follow in the footsteps of his predecessor.


  My take: Ni lini na sisi tutakaposemanao the likes of mama Mkapa????????
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hapa kwanza itabidi tudai cheti cha ndoa maana Mkapa hajawahi kusikika kuoa ,yule ni mke wa kupanga tu na kwa tetesi kuwa Mkapa ana ukimwi na anatumia madawa ya kunenepesha mwili ,baada ya kugundulika kuwa Mkapa ana mdudu kila mmoja na lake wanajuana kwenye sherehe za Sultani CCM tu.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Ila kweli Mama Mkapa watu wanasema alijitajirisha sana kwa ile NGO ya Equal Opportunity! Mama wa Kichagga tutamweza???

  Huyu mama Chiluba ataweza kula Ugali na maharage kweli? Naona kama ni mayai mno!
   
 4. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2009
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Na Vera siyo mke wa kwanza!
  Vera alikuwa hausigeli wao..Chiluba akambwaga mke na kumuoa Vera.... Siku za mwisho za utawala wa Chiluba... Vera alibwagwa in favour of Regina...so what goes round-comes round!
  NB: Vera ndiye alimchomea utambi Chiluba kuhusu wizi mkubwa aliofanya akiwa rais.So men watch out!
   
 6. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,896
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Am kweli chiluba alikuwa pedeshee...cheki hata yf alivyo bomba. Nasikia jamaa alikuwa mtu wa pamba kali.

  ---and that is the meaning of rule of law.
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Why can't we learn from our good neighbours on good things like these?
  • All properties forfeited .....can't we forfeit Kiwira and many others?
  • Convicted of receiving even a television set that belonged to state....How many state's multibillion assets have been grabbed by our culprits in Tz jamani?
  • Convicted for failing to explain how she got $100,000....... How about mzee wa Visenti in his Jessey Account?
  • Immunity for president lifted so that Chiluba was prosecuted...how about our nchee nkapa?

  We need to follow these good examples from our friends Zambians......I like this!
   
 8. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Posted by WomenofSubstanc:
  NB: Vera ndiye alimchomea utambi Chiluba kuhusu wizi mkubwa aliofanya akiwa rais.So men watch out!


  Hicho kitu ndio Adamu alimwambia Mungu: "Ni Eva ndio amenishawishi nile tunda ulilokataza." Mungu didn't buy that male chauvinistic horsecrap, akawa punish both their behind's.

  Watanzania, mpaka leo bado tuna mentality ya bustani ya Eden, yani mwanamke, WomenofSubstanc, anakwambia ni mwanamke mwenzake, Vera Chiluba, ndio ana makosa ya kumchomea utambi mwanamme, Rais Chiluba, akawaibiea Wazambia. I mean, this is worse than garden of eve mentality kwa sababu hata Eva hakujipeleka kwa Mungu kujipalia makaa mwenyewe kwamba yeye ndio alimshawishi Adamu.

  Yale yale, mwanamme akichiti wanawake wanakaa kikao kumuuliza wakimlaumu victim mwenzao kama alishindwa kubuni staili mpya za mapenzi za kumridhirisha mwanamme. Such putrid victim mentality!
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  WomenofSubstanc,

  Na ninyi kina mama angalieni mnavyoharibu ndoa zenu..yani unadiriki kumleta housegirl bomba kuliko wewe ..je si kumtamanisha mme wako??

  Huyo demu hapo juu ndo alikuwa housegirl?
   
  Last edited: Mar 4, 2009
 10. Giro

  Giro JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2009
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 360
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Eee mola tunaomba ka upepo kama haka kavume hata siku moja na huku kwetu, na sisi huku tuna mapaa machakavu(Mafisadi e.g Mama Mkapa).tujaalie viongozi waadilifu,wasiogopa watu,wachapa kazi na si wazungumzaji bila matendo.Tunajua hubadilishi yaliyokuwa kwawatu mpaka wao wabadilishe yaliyomo katika vifuwa vyao(Matendo) yao,ili tufanikiwe katika vita hii lazima wabongo tubadilike,2010 inakuja tujipange tuache unafiki.Tuwatose
   
 11. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kazi sasa imeanza, Mwiba jamani taratibu. Hizi kesi ipo siku tutazisikia tu TZ, nani alijua kuwa kuna siku Jeetu Patel atachuchumaa mbele ya amri ya Askari Magereza, ama Katibu Mkuu wa Wizara atawekwa benchi ili aione Kisutu. Nimuda tu wanaochezea rasilimali zetu watakuwa sawa na wale wasingiziwao kuiba Kuku.
   
 12. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tukijadili mada na kuachana na wake wa Chiluba, tutaona kuwa Zambia ipo njiani kutengeneza mustakabali wao. Hii ni nchi ambao haikuwa na tofauti kubwa sana kiuchumi ikilinganishwa na Tanzania, na pia sera zao zilifanana kwa kiasi kikubwa. Nadhani mweno hata wa GPD-per capita yao uko juu ya kwetu.

  Wazambia wametushinda kwa kitu kikubwa kimoja tu, wameamini kuwa yeyote sio lazima awe UNIP anaweza kuongoza nchi, waliweza kubadilisha utawala kutoka chama kimoja kwenda kingine, ambapo huu unaweza kuwa urithi mzuri walioupata. Ikumbukwe kuwa Chiluba alitokea kwenye chama cha upinzani, na ndiye aliyekuwa wa kwanza kumwandama Kaunda!

  Ninachojaribu kusema hapa sio kulipiza kisasi, ila ni mageuzi ya kwanza kutokea kuweza kumwandama Rais aliyekutangulia pale ambapo alifanya madudu.

  Naamini haya yamewezekana Zambia kwa sababu wanachi walithubutu kubadilisha serikali, na alieingia tayari alikuwa na ile kitu tunaita kuthubutu, kwakuwa kwanza tayari alikuwa ashapata sulubu nyingi kabla ya kupata nafasi ya kuongoza nchi.

  Tukichukua mfano mwingine, ni ukweli usiopingika kuwa kama Tzavingirai angekuwa rais wa Zimbabwe, basi angewawajibisha kina Mugabe na wengine walioiharibu nchi ile, lakini kama angetokea kiongozi mwingine ndani ya ZANUPF ingekuwa vigumu kuwawajibisha kwakuwa tayari nao walikuwa sehemu ya mfumo. Sisemi kuwa haiwezekani, ila ni mara chache sana na ni kwa watu wachache ambao hawatabiriki, sijui kama Mkuu wetu wa Kaya anaweza kuwa mmoja wao.

  Lakini jambo la kufurahisha ni kuwa huu umeanza kuwa mwendo mzuri, wameanza Zambia, wako Malawi, kwa hiyo huu unaweza kuwa upepo wa kisulisuli, siku moja hata hapa kwetu unaweza kuwepo. Wakati huo ndio wote wanaopewa au kuomba madaraka watakuwa na moja tu, nalo ni NINI WATAWAFANYIA WATANZANIA.

  Hoja yangu sio kuwa ni kuiondoa ccm madarakani, la hasha, hoja ni kuwa nayo ccm pamoja na uma ufahamu, uamini na kukubali kuwa yeyote anaweza kuongoza dola! Wakifikia hapo, mabadiliko makubwa yataonekana Tanzania kwa kasi ya ajabu.
   
 13. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Pacapita income yao ni USD kama 1000!

  Sema Wazambia wengi ni watu wa starehe..mtu yuko tayari kununua gari la kifahari na hana nyumba na analala huko2 ndani ya gari!

  Demokrasia yetu Tz taabu upinzani hawajawa na viongozi shupavu na makini may be CCM igawanyike kama ANC ndo upinzani wa kweli tutauona!

  sasa upinzani Lipumba, Seif, Mrema je wana jipya kweli kutupa kama Watz?
   
 14. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  "Tukijadili mada na kuachana na wake wa Chiluba"? Well, mada ni kufungwa kwa wizi wa mmoja wa wake wa Chiluba, sio per Capita production ya Wazambia wala kupanua wigo wa Demokrasia. Wizi in high places. Wizi!
   
 15. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mwiba....Pamoja na kwamba Mkapa ana tuhuma sidhani kwamba ni busara kueleza kwamba ana Ukimwi na anatumia dawa za kunenepesha mwili..Hata kama ni kweli anao si busara kumuanika hapa(maana wewe mwenyewe umesema ni tetesi),na hata kama anao wewe inakuhusu nini???...Mhukumu mtu kwa yale anayostahili kuhukumiwa(kama ufisadi nk) na si kuanza kusimanga mtu(nionavyo mimi) kuwa ana Ukimwi...Mheshimu mtu hata kama ana mapungufu ndugu yangu,pia acha tabia hizi za Unyanyapaa
   
 16. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  I wish PCCB here could have such guts to investigate our former firsty lady Mama Anna Mkapa. I am quite sure she would end up in jail given the hint we got from Prof. Mbilinyi the former Finance Minister during President Mkapa's tenure. Look at how the former army generals of the Zambian Army are being looked because of graft committed under President Chiluba. Bwana Hosea should bite instead of playing games to the gallery.
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mzalendo,
  bomba or not.... beauty is in the eyes of the beholder! Unajuaje kuwa huyo "TX" wa nyumbani alikuwa bomba ki hivyo? yote inategemeana na jinsi huyo bibie na baba mwenye nyumba walivyo kitabia...kama tabia zao zinashabihiana kwa maana ya kutokujali maadili..hata ungeleta mti ukauvalisha sketi mambo yangekuwa yaleyale.
   
 18. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hivi tunashidwa vipi kufanya vitu kama hivyo vilivyo wakuta akina F.Chiluba na mke Regina;tena hawa mbona ubadhirifu wao ni kiduchu tu!?Ngoma nzito iko hapa kwetu,maana yake huyo mtu wa cheo cha chini ya waziri usimpimie kabisa ukija kwa rahisi ndiyo balaaa kubwa.
  Ila siunajua tena viongozi wetu ni mabingwa wa kulinda;na hii nafikiri ni kutoka na kula vyakula vya mkoloni ambavyo huenda vimewakeuza kutokuwa wazalendo.
   
 19. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Bongo itakuwa ngumu manake jaji mkuu bado analumbana na spika nani yuko sahihi, na watu wako busy na kesi za kina Zombe. Kama wananchi tukipaza sauti hata ex-presidaa anaweza panda kwa pilato na akala nyundo kama atakutwa na hatia hata kama JK ni kijana wao. Nguvu ya umma siku zote inashinda.

  Salut! wazambia, yes we can kama inatokea zambia kwanini isiwe bongo tena wajumuishwa na watoto, mashemeji, wakwe na ndugu wote waliotumia nafasi za jamaa zao kula mali ya umma.
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakwetu weye nawe kunzidi, walenga makwpi tu ha! mengine yanzidi tenaa..!
   
Loading...