Ex wangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Ex wangu aliniacha mimi na kukimbilia kwa jamaa fulani kisa jamaa ni mtu mwenye pesa nyingi.

Wakati mimi ndo nilimtowa kijijini na kumleta mjini ila cha ajabu mazuri yote haya walisau yeye na Familia yake kisa jamaa huyo alikuwa ana towa pesa nyingi kutunza Familia hiyo.

Sasa demu ni mgonjwa amelezwa. Na nilivyo sikia kwa watu jamaa alisepa zake baada ya kuona demu amekuwa duka la magonjwa. Na toka tulivyo achana hakuwai kuni text jioni hii ndo nimeona SMS yake. Akiniomba niende hospitali anataka kuniona sijui kuna nini



Yamemkuta sasa ndo ameona umuhimu wangu
 
Amevuna alichopanda
 
Ya Kweli mkuu ,bas nenda tu mpeleke matunda na chupa kubwa ya maji ya Kilimanjaro atakushukuru sana
 
Yaani kuna madogo wanashindana kuporomosha chai kutwa kucha sijui kwa faida ya nini sijui.

Ni kama mmejiunga JF kuja kushindana ku post ma chai kutwa
 
Kuandika ax badala ya ex ni upumbavu wa kwanza. Kwenda kuchukua mwanamke kijijini afu umlete mjini ni upumbavu wa pili. Inanonesha wewe nj mpumbavu shupavu. Ila Upumbavu wako utadhihirika zaidi pale utakapoamua kujihusisha nae tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…