Ex wangu kanitambulisha kwa bwana wake mpya

Ex wangu kanitambulisha kwa bwana wake mpya

Hahaha eti kumalizia pensheni yake daa.
NDO HIVYO!
KURUDI KWA EX KUKO VALID KWA MIAKA 12!
mafao yako yanakuwepo tu yanakusubiri!
ukiona EX HAMJATAFUTANA KWA 12 yrs basi ujue huna chako na ye hana chake!
under those years ujue mafao yanaendelea kumature tu!
eti Castr
 
Back
Top Bottom