Ex wangu kanitambulisha kwa bwana wake mpya

Ex wangu kanitambulisha kwa bwana wake mpya

lengo lake ni kukurusha roho na aone utajisikiaje, ila umemjib una umeonesha ume kumsifia koz hamna kipya coz mshatengana kitambo kwasasa yeye ni ka wasichana wengine walopo mtaani tuuuu
 
Hakuna shida ila kulikuwa na umuhimu wowote wa kufanya hivyo?
Ndio, inawezekana mdada kaona mleta mada anaonyesha dalili za kutaka kujirudi hivyo kaamua kufanya defensive mechanism.

Yani wameachana miaka mitano ila bado wanawasiliana, i smell something fishy!
 
Anakuonesha kama kapata mgegedo mpya. Lakini huyo bado anakupenda mkuu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kuna X wangu mmoja nilimletea uzi humu,
Alikuwa fulu kunizingua na mchizi wake,
Nilicho mfanyiaa hata kaa asahau maishani mwake, kile kidonda sijui kitapona lini.

Nimetafuna mdogo wake na rafiki akee wa karibu sanaa.
Japo pesa imenitoka ila adabu kaipata na royo yangu imetuliaa.

Sitaki Ujinga.
tuletee ka thread detailed mkuu
 
Wewe unaendelea kujipendekeza Bado ameona vyema,akuonyeshe kwamba Hana shida na wewe na aliye mpata anamtosheleza kila kitu.
Kwahiyo kaa mbali nae na yasije kukupata mabaya ukaja laumu yule dada kwamba hajakwambia kuwa ameolewa.
 
HANA MPENZI AND SHE WANTS YOU BACK!
mi ukiwa ex unakuwa ex mpk mwenyekiti wa serkiali ya mtaa wenu!
PALE NINAPOAMUA UWE EX!
 
Baada ya kuachana kwa muda mrefu ex wangu wa kitambo leo kanitambulisha bwana ake wa sasa ambaye amevuta ex wangu
nimeshangaa na sijajua lengo lake kwasababu nipo mbali kwa miaka mitano sasa na mapenzi hakuna tena, je nini lengo lake?
Dah...acha ujinga...mtafute mdogo wake wa kike...au rafiki wa karibu sana.......
 
Kuna X wangu mmoja nilimletea uzi humu,
Alikuwa fulu kunizingua na mchizi wake,
Nilicho mfanyiaa hata kaa asahau maishani mwake, kile kidonda sijui kitapona lini.

Nimetafuna mdogo wake na rafiki akee wa karibu sanaa.
Japo pesa imenitoka ila adabu kaipata na royo yangu imetuliaa.

Sitaki Ujinga.
Akili zenye kasoro
 
Kama bado alikua a nakupenda sidhani kama kidonda kitakua kimepoa

Ila kama alishamove on umetwanga maji kwenye kinu
 
Baada ya kuachana kwa muda mrefu ex wangu wa kitambo leo kanitambulisha bwana ake wa sasa ambaye amevuta ex wangu
nimeshangaa na sijajua lengo lake kwasababu nipo mbali kwa miaka mitano sasa na mapenzi hakuna tena, je nini lengo lake?
Umri wako tafadhali?
 
Ili aone kama bado una wivu naye
Unaweza ukawa huna wivu nae ila kwann akutambulishe kwa mpenz wake wakat anajua junsi mlivyokuwa awali,hana lolote anamuoneshea yy akisema cha nn kuna wengne wanasema watakipata lin
 
Back
Top Bottom