msemeshe tu bossNingemuuliza kwanini alighairi lakini tatizo kumsemesha ex siyo jadi yangu
hahahahaha, pole boss(Bora ni enjoy maisha mafupi ni simpo yanini ni teseke roho)😂😂😂😂kokote ulipo namsubire akuze awe mkwe wangu
Never....Yaan haiji tokeamsemeshe tu boss
hahahahahahahaAngel angel angel nimekuita mara 3 mtoto wa kinyiramba wewe aisee siwez kusahau mambo yako ktandan aisee unajua na unajua tena daaah..
anafaa, atatuliaMbona mnazungumzia Ex kama vile ni mmoja [emoji276]nje ya mada Mwanamke ambaye ana ex kuanzia 10 anafaa kweli kuwa mke [emoji276]?
Hata NTU anaweza kuwa mbwa ikiwa tabia zake ni za kimbwaIlikuwaje ukachumbia mbwa ilhali we ni ntu?
Unamsemea ex yupi mkuu, au alikuwa mmoja tu😝🤣🤣🤣Mi kiukweli sitaki hata kukumbuka hata lile zuri lake Moja 🤨
msameheme uende MbinguniNever....Yaan haiji tokea
Mume wa ndoaUnamsemea ex yupi mkuu, au alikuwa mmoja tu😝🤣🤣🤣
Mbele Kwa mbelemsameheme uende Mbinguni
nilishasema page ya 1 kasomeSEMA kwanza wewe
Hata NTU anaweza kuwa mbwa ikiwa tabia zake ni za kimbwa
na ulivyo wa hovyo ukajaMada za hovyo kabisa
Kaniaga anaenda kusalimia kwao kumbe kaenda kwa x wakehahahahaha, pole boss
ulichapwa wapi?
unataka kutukanana na money penny utaweza chenji yangu au?Wee ni falaa...