Ex wangu ananinyanyasa kisa kapata kazi

Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani
Sasa hapo umenyanyasika vip ? Tafuta pesa acha kulamba lamba lips. Sasa hiyo namba yake bado unayo ya nn utoto bado unakusumbua
 
Kuachana sio uadaui bali ni kupiga hatua moja mbele juu ya uhuru wa nafsi.......

Kuamua kuachana ni ukomavu kwa kuwa umevishinda vita baina ya nafsi na mwili na umekuwa huru........

Lakini bahati mbaya watu wengi hawajui tofauti ya kuachana na kutengana.......

Watu wanatengana baada ya kuachana na huyu mtoa mada ni mmoja kati ya watu hao.....

Huo ni udhaifu wa nafsi inayotapa tapa kwa kukosa inachokitaka.........

Kuachanaa maana yake ni kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yako bila ya yule mliye kuwa mnashirikiana kwa mambo mengi hasa kihisia.....Sasa utafungua vipi huo ukurasa hali ya kuwa bado upo kwenye kamba za MAISHA yaliyopita.........??
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani napata wivu hapana mimi sina wivu na ww nimepata kazi now maisha safi

Nikamwambia ongera kwa kupata kazi lakni hiyo kazi yako hainihusu mimi na mimi sipo hapa kwaajili ya kukutambia kuhusu huyu demu wangu mpya ni shombe shombe wa kiarabu mtoto mzuri kuliko yeye ndio maana kapaniki ila mademu buana halafu cha ajabu ni kwamba naona kila nikiweka status anazifuatilia mno tena mda mwingine ananipiga majungu

Wakuu huyu ex vp maana simuelewi mienendo yake yaani kama bado hajamove on vizuri
We mwenyewe bado huja Move on, Yani Upo upo tu, Siku Akimpost bwana wake Mpya Lazima Roho Ikuume maana Inaonekana bado Unampenda ndo Maana Namba Hujafuta

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani napata wivu hapana mimi sina wivu na ww nimepata kazi now maisha safi

Nikamwambia ongera kwa kupata kazi lakni hiyo kazi yako hainihusu mimi na mimi sipo hapa kwaajili ya kukutambia kuhusu huyu demu wangu mpya ni shombe shombe wa kiarabu mtoto mzuri kuliko yeye ndio maana kapaniki ila mademu buana halafu cha ajabu ni kwamba naona kila nikiweka status anazifuatilia mno tena mda mwingine ananipiga majungu

Wakuu huyu ex vp maana simuelewi mienendo yake yaani kama bado hajamove on vizuri
 
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna ex wangu nimeachana nae ni kama miezi 8 sasa tulitofautiana ila hatukufuta mawasiliano ila uwa hatuwasiliani sema yeye uwa anakomenti sana status zangu sasa jana nikamuweka demu wangu mpya status nashangaa amekomenti eti ww unadhani napata wivu hapana mimi sina wivu na ww nimepata kazi now maisha safi

Nikamwambia ongera kwa kupata kazi lakni hiyo kazi yako hainihusu mimi na mimi sipo hapa kwaajili ya kukutambia kuhusu huyu demu wangu mpya ni shombe shombe wa kiarabu mtoto mzuri kuliko yeye ndio maana kapaniki ila mademu buana halafu cha ajabu ni kwamba naona kila nikiweka status anazifuatilia mno tena mda mwingine ananipiga majungu

Wakuu huyu ex vp maana simuelewi mienendo yake yaani kama bado hajamove on vizuri
Uandishi wako ni kiboko, hakuna cha nukta wala kituo!
 
MBlock hilondio suluisho
 
We jamaa hapo umenyanyasika kivipi?
 
Back
Top Bottom