Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

nampata huyo mdada anakufuata hadi huko Arusha hutaki kula mishe analala mwenyewe Lodge na unampatia tiketi anarudi ila uzuri unampatia hela tayari amenunua kiwanja gongolamoto ndo anaanza kujenga kwa hela zako na anadai husimamishi
 
Are you normal upstairs?
 
Haupo normal upstairs, mwanamke kama weww ni hasara kwa taifa. Pia unawachoresha wanawake wenzio na kuwaaibisha.
Wee ni mndukuu...na ndio maana wanawake mtaan kwenu wanakudharau sana[emoji57][emoji57]

Unaitwa boya, fala, jinga wameona uzezeta wako, na hapa unajidhirisha!

Ndio maana lilevi la mataputapu[emoji57][emoji57]

Kwendraa na nyuzi zako za kuomba omba hela humu!
 
Yeah mimi ni mlevi hasa, hata avatar inajieleza. Yaani unakimbilia kutukana? Wewe ni dume, sio mwanamke. Kama mwanamke basi njoo PM nikutong*ze halafu tukupige mt*ngo au mande na washkaji zangu. Offer hiyo!
NB: njia tutakayopita wakati tukikukula mande ni ya vumbi na si vinginevyo.
 
mara nyingi tunatamani sana hizi story kuwa uliemwacha kapauka and so on, wewe mbona husemi mwanamke mwanzo na uzuri wake alikukubalia... ilitosha wewe hapo chuo kuanza biashara ndogondogo hata kuuza bagia umtunze!!
.
.
huoni ulivyopata shekeli ameanza kurudi!?
we jamaa huyu mwanamke ni kama unamkumbuka kiaina, eb kaa na mkeo, ye akipauka inakuhusu nini?? mwache yupo kuna mwamba atamtakatisha muda si mrefu!!
.
.
kikao chetu tulichokaa kilitoka na azimio moja Hela zitafutwe kwa nguvu zote, maana bila shekeli huwezi pata hata busu la mrembo.
.
.
nakala aione kwenye jalada:
zero IQ
 
Kupauka kwake kunanikumbusha maumivu aliyonipa enzi zile nikajiona mbuzi kumbe ili nifae nilitakiwa niwe na hela.
UJUMBE WANGU: Wanawake acheni kubagua watu kwa sababu ya kipato bagua mtu kutokana na level ya upendo wake kwako la sivyo mnaweza tupa dhahabu mkadhani ni jiwe
 
😝😝😝😝😝😝😝😂😂😂😂😂😂😅😅😅🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸. Daaah aseee nilipo sina mbavu pesa mzizi mkavu yaaani ukiwa kama Ginimbi hutashangaaa fulani kapata wapi namba.
 
Nimeiona mkuu japo kwa kuchelewa
 
Umenena ukweli mkuu
 
Ujumbe wangu:wasichana pendeni watu bila kuangalia kipato chao,kwenye life kuna ups n down tajiri wa leo anaweza akawa masikini wa kesho and vice versa usimjudge mwanaume enzi za utafutaji wake kwa sababu bado anafight hujui atapata nini?
Huu ujumbe sijaukubali na sitakaa niukubali mkuu. Yaani manzi avumilie shida,dhiki, tabu , mateso kwa mtu asie na pesa eti kwa kuamini kua atapata baadae.
Yaani wewe unataka kuaminiwa kwa kitu ambacho hata wewe huna uhakika nacho.

Kwa hili huwa naona tunawalaumu wanawake bure tu, wa kuwalaumu ni wale ambao wanaume zao wanajitahidi kuwapa mahitaji yao kadri ya uwezo wao ila wao hawaridhiki. Sasa wewe humpi chochote unategemea boom/pesa ya mzazi unataka eti akupende kwa kukuonea huruma tu.
 
Kuna binti atafuata nyayo za huyu,I promise you wakuu.
 
nampata huyo mdada anakufuata hadi huko Arusha hutaki kula mishe analala mwenyewe Lodge na unampatia tiketi anarudi ila uzuri unampatia hela tayari amenunua kiwanja gongolamoto ndo anaanza kujenga kwa hela zako na anadai husimamishi
Hahahah yaani bado anampa hela[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…