Ex wangu alivyonitesa leo ananililia

Yeah, ni kweli nina mfumo DUME na ninau-practise so what? Unafikir umpendaye utsmpata kwa pesa pekee? Na ndo maan nikasema ww co mzima, u must have 'kibsmia' thats why unatanguliza sana ela kuliko upendo
 
Yeah, ni kweli nina mfumo DUME na ninau-practise so what? Unafikir umpendaye utsmpata kwa pesa pekee? Na ndo maan nikasema ww co mzima, u must have 'kibsmia' thats why unatanguliza sana ela kuliko upendo
Relaax kijana, hakuna alietanguliza hela nadhani hujaelewa.

Nimesema hivi, kama unaona huyo manzi sio level yako achana nae wapo kibao unaoweza kuwamudu kwa icho kipato chako. Usilazimishe wala usimlaumu na kumtuhumu kivyovyote yule anaekuacha kisa huna pesa, ni haki yake kupenda popote na chochote. Narudia tena usitafute huruma kisa we ni maskini. Na kingine ambacho hujaelewa ni hiyo statement yako kua "unaempenda utampata kwa pesa pekee", ni hivi tafuta wa level yako.

Na pia nikasema kua mfumo dume haujakujenga ila umekuharibu kwa kuutafsiri vibaya. Hiyo ya kibamia em usiitaje tena unajishushia hadhi yaki mtoto wa kiume kusema sema kuhusu maumbile ya wanaume wenzio.
 
Una akili za kibaguzi sana kukosa kwa mwanaume ni jambo ambalo linamuumiza na kumkera kuliko hata wewe unaejiita manzi wake.UVUMILIVU KWA HALI YA MWENZIO NI KIPIMO CHA UBINADAMU KWAKO
Hilo ni dume mkuu wala usihuzunike saana,anajaribu kutengeneza mazingira tuu
 
Na ndio maana nikasema kuwa hata kama sina pesa na nimempenda mwenye ela zake, yaani aitokaa itokee eti nitsfute wa level yangu never, nitafanya juu chini nimpate regardless ananipenda, kwenye upendo pesa is not a big deal.

Kuhusu kuwa akiniacha nisimalumu yeyote, ni kweli sitoalaumu yeyote wala yeye sitomlaumu. Usichokijua ni kuwa sijawai kuachwa na demu mwenye ela, labada makapuku ndl huniacha, napo cjawai kuwapenda. Shortly sjawai kuachwa na pisi yenye ela zke.

Pia kutafuta ela ili nipendwe sio lazima ni hiyari, tupo tofaut ustake wote tutafute ela, wengine tuna vitu special vya kumfany msichana asiangalie pesa kwangu. Nyie mnaotsfuta pesa ili mpate wenye ela au pis kali endeleen, tupo tofauti kaka.
 
Umeniliza kaka, huu ni moja ya ujumbe bora jf kwa mwaka huu.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]umefkiria nn kaka?[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Bro umeniliza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mimi naongelea in general mkuu, kama jamaa mleta uzi alivyotoa ushauri hapo mwisho hakubase chuo peke ake.

Wanaume tukubali kua ili kuhandle vizuri mahusiano basi pesa ni muhimu. Tusiwatwishe mizigo watoto wa kike kwa kutaka watusubiri tutusue na wakikataa kusubiri zigo la lawama na kejeli liwashukie. Nao wana maisha yao na kuna familia zinawategemea pia, tuwaache wajiamulie pia.
 
Weee umekomaa sasa
 
Nilichojifunza humu watu wanainjoi sana wakiona ma-ex wao walioachana kwa kashfa wanapigika🤔🤔🤔
 
Afadhari we umenielewa mkuu, wadau hapo juu wananishambulia wakati ndio ukweli. Mfano manzi kakuacha hata bila dharau wala nini ila wewe na umaskini wako unajenga chuki na visasi eti unataka akuonee huruma nyambaf. Ukimpata wa kukuvumilia shukuru ila sio kumwekea visasi aloshindwa kukuvumilia.

Tusake doo mkuu tuachane na kutaka huruma now days mtoto wa kike anategemewa kwao kama ilivyo kwa wa kiume ndio maana wanasomeshwa sana na wazazi wao, halafu leo kamtu kaje eti manzi avumilia shida wakati mlango wa kutusua anauona😂😂. Kikubwa asikuletee dharau akuache kwa amani.
 
Ndio la muhimu mzee asilete dharau tu, pia manzi akikuacha kisa huna pesa huwa inaleta hamasa sana ya kuzitafuta ili usiachwe tena kwa tatizo lile lile
Yaah inatia hamasa sana mkuu, kikubwa sio kumlaani na kumtakia mabaya ila pambana utoke kwenye umaskini.
 
Yaah inatia hamasa sana mkuu, kikubwa sio kumlaani na kumtakia mabaya ila pambana utoke kwenye umaskini.
Sasa wengine wakiachwa kisa mpunga huwa wanatia juhudi za kulia na kulalamika badala kuweka juhudi kwenye kuzitafuta.
 
Sasa wengine wakiachwa kisa mpunga huwa wanatia juhudi za kulia na kulalamika badala kuweka juhudi kwenye kuzitafuta.
Na ndio sababu wengine wanajinyonga badala ya kupambana na kujitoa huko kwenye umaskini mkuu.

Si busara kutumia pesa kama urimbo kunasa warembo wengi lakini ni poa zaidi kujichanga mpenzi wako asilalamike shida ndogondogo.
 
Hapo hata mimi nakuunga mkono, kikubwa ni heshima tu. Na mademu wengi hawawezi kuwaacha wanaume kwa heshima, huwaacha kwa dharau, na ndio tatizo huanzia hapo. Hususani hapa TZ, na ndio maana chuki za kimapenzi zinakuwa kubwa hata kwa mastaa, sio tu raia wa kawaida.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…