Kiporo loading...Jumamosi nilipata mgeni binamu yangu kutoka Dodoma, nikabidi nimtoe out
Selection bado mkuu sijui kwanini zinachelewa, yaani tunapata tabu...Hivi form.four wameshapangiwa shule?
Vumilieni tu, hata sisi tunapata tabu na post zenu humu, kwa mfano hii thread kama mngekua mmeshapangiwa shule thread kama hizi tusingezionaSelection bado mkuu sijui kwanini zinachelewa, yaani tunapata tabu...
Mmmmmh......
Mtoa post ni senior memberVumilieni tu, hata sisi tunapata tabu na post zenu humu, kwa mfano hii thread kama mngekua mmeshapangiwa shule thread kama hizi tusingeziona
Nadhani watapangiwa shule soonmtoa post ni senior member
Unaweza kuwa mzee ila ukawa na mawazo ya kitotomtoa post ni senior member
BadoHivi form.four wameshapangiwa shule?
Ndugu.....usishangae siku hizi vijana vinywa na mikono yao umepoteza ushirikiano na ubongo.......matokeo vinatangulia vitendo kabla ya fikra.......na haya ndio madhara yake.......wala hawafanyi makusudi hapo ndio mwisho wa akili zao......To be honest, kuna wakati baadhi ya nyuzi huwa napata shaka kama wandishi huwa wapo serious au ndio uwezo wao wa akili umeishia hapo!!!
Form fiveHivi form.four wameshapangiwa shule?