Ex wako akikuomba utamnyima?

Misingi gani hiyo

Aha! misingi ya kuendeleza uhusiano pindi mnapoachana. Wengine wanaachana kwa matusi! Hiyo si misingi misuri. Watu tunaachana kiukweli na pindi tunaachana kila mmoja anabubujika na machozi ya huzuni - sasa hapa utamuacha mtu akirudi?
 

kheeee hatukuweka misingi mizuri ya kuachana?makubwa
 
Never hata siku 1
nahuo ktk moja ya misimamo yangu kutompa mtu nliyeachana nae my amuto
 
Never hata siku 1
nahuo ktk moja ya misimamo yangu kutompa mtu nliyeachana nae my amuto

Wewe hukupewa vitu adimu.... kuna vitu unapewa kila ukimuona mtu stimu zishapanda!!!
 
Nikuulize, unaweza kula chakula alichokula mwenzio afu akakitema??

Hahahah....hili swali umezidisha manjonjo, mi nadhani ulipaswa uulize hivi,

"Nikuulize, unaweza kula chakula alichosusa mwenzio??"
Jibu ni ndio kwa kuwa bado chaitwa chakula...

Na wewe umepunguza mno makali ili kuhararisha.
 
''kila nikikutana na girl friends nilioachana nao nawatamani ni do..... (kuto***na).... nao''

Hii ni kauli ya jamaa mmoja.

ckumshangaa coz hata mm imewahi nitokea wakati fulani


Eti mwana jamii ww kwako ikoje?

Usizini !!!
 

Pole sana Wiyelele,

Soma andiko lifuatalo:-

02 Petro 02:20 - 22 inasema....

20 Kwa maana wale waliokwisha kuyakimbia machafu ya dunia kwa kumjua Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, kama wakinaswa tena na kushindwa, hali yao ya mwisho imekuwa mbaya kuliko ile ya kwanza.
21 Maana ingekuwa heri kwao kama wasingaliijua njia ya haki, kuliko kuijua, kisha kuiacha ile amri takatifu waliyopewa.
22 Lakini imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli, Mbwa ameyarudia matapiko yake mwenyewe, na nguruwe aliyeoshwa amerudi kugaa-gaa matopeni.
 
Maana, kama mjuavyo, anayeungana na kahaba huwa mwili mmoja naye--kama ilivyoandikwa: "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." 1 Wakorintho 6:16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…