EX lover wa Obama atoboa siri zake...

Waafrika sijui mkoje,
Ni nani Mswahili ambaye angetoboa aingie mle white house,
badala ya kumpa support mwenzenu nyie ndo wakwanza kumdiss,
hivi mkoje jamani eeh.
 
Obama mimi ameni disappoint sana..i had so much hope alivyokua kwenye kampeni..he promised so much yet delivered so little... tatizo ni kwamba alternative yake ni mitt romney ambae naona ni mpuuzi...this time republicans hawana candidate strong...ni bora wamuache obama aendelee mana wakimuingiza romney white hse..america sijui itaelekea wapi
Ndio maana atashinda
 
h he he he he he he siasa bana unaweza cheka kila siku mpinzani wako anatafuta jinsi ya kukuchafua kwa kila hali
 
Sio kwamba Obama alijiandaa yeye mwenyewe kuwa raisi wa Marekani,no,aliandaliwa kutoka kuzaliwa kwake!
[h=2]A serious man[/h] [h=1]The secret diary of Barack Obama's ex-girlfriend[/h] Revealed: the future president's TS Eliot-inspired fatalism and bare-chested crossword-solving proclivities


Barack-Obama-Harvard-Law--008.jpg




Barack Obama as a student in 1990, at Harvard Law School in Cambridge, Massachusetts, which he attended after graduating from Columbia University. Photograph: Joe Wrinn/AP






kikubwa nilichoona ni kuwa huyu ex-galfriend alichozingatia kweye hulka ya Obama ni pamoja na:-

1) Obama ni msiri sana na hakuwa wazi kwake.

2) Maandalizi ya kuwa Raisi wa marekani aliyaanza mapema sana.

3) Hupenda kujisomea vitabu sana.

4) Ni mtu makini kwenye mipangilio yake.

mengineyo jisomee mwenyewe....................
 
Raisi wa Marekani hachaguliwi na wananchi Wamarekani,anateuliwa na serikali kivuli ya Marekani(The American Shadow Government).Sasa hivi the next president wa Marekani anafahamika.Kwavile walitumia resources nyingi kumuandaa,na kusema kweli hajawaudhi mabwana zake,yaani hajawaudhi viongozi wa serikali kivuli ya Marekani,hakuna shaka yeyote kwamba ataendelea.Napenda ufahamu kwamba inayo onekana ndiyo serikali ya Marekani sio serikali ya Marekani,wenyewe wako nyuma,wanaongoza by remote control,makamu wa raisi akiwa ndiye representative wao.Kusema kweli uchaguzi wa Marekani is a sham.Laiti Wamarekani wangejua wasingeshiriki kabisa.
Obama mimi ameni disappoint sana..i had so much hope alivyokua kwenye kampeni..he promised so much yet delivered so little... tatizo ni kwamba alternative yake ni mitt romney ambae naona ni mpuuzi...this time republicans hawana candidate strong...ni bora wamuache obama aendelee mana wakimuingiza romney white hse..america sijui itaelekea wapi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom