Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
..demu: I love u.
..Obama:Thank u.
..inaelekea Obama alikuwa anamdanganya huyo demu.
Hilo mbona ndio jibu la kawaida na muafaka?
Obama mimi ameni disappoint sana..i had so much hope alivyokua kwenye kampeni..he promised so much yet delivered so little... tatizo ni kwamba alternative yake ni mitt romney ambae naona ni mpuuzi...this time republicans hawana candidate strong...ni bora wamuache obama aendelee mana wakimuingiza romney white hse..america sijui itaelekea wapi
Gurta,
..demu nadhani ni mzungu.
..sasa mzungu maneno " i love u " huwa wako reluctant kuyatamka.
..kwa huyo demu kumtamkia hivyo Obama maana yake alikuwa anampenda kwelikweli.
..kitendo cha Obama kumjibu "thank u" ndicho kilichomkata maini huyo demu.
..yeye alitegemea Obama atamjibu " i love u too."
Naomba muelewe kuwa USA bado ipo katika u DINI hasa na tabia za mgombea Urais lazima zifuatiliwe toka udogoni.Unatakiwa kujua kuwa USA haitwaliwi kama Tanzania. JK anaweza kuagiza tu pesa zikachotwa na kufanya kitu.
Kuhusu hizi story za ma-ex si hazina maana wala nafasi unless waoneshe kuwa kuna infidelity ndani yake (Yaani anatoka ne ya ndoa) Ila kwa past issue ni jambo la kawaida sana.
Kuna namna Obama alikuwa makini na move zake na pia msiri! Haonekani kujiachia sana!!!
Sioni data ya msingi sana ya kumchafua Mkuu Hapa!!
I can say the Man was Lucky ... Si unajua haya majambo mhh! Kila mmoja dairy zikiletwa hapa Loh!! Hata Balozi wa Nyuba kumi hakuna kuona ndani!!!
Do you really wanna know where america heading?...kweli?Obama mimi ameni disappoint sana..i had so much hope alivyokua kwenye kampeni..he promised so much yet delivered so little... tatizo ni kwamba alternative yake ni mitt romney ambae naona ni mpuuzi...this time republicans hawana candidate strong...ni bora wamuache obama aendelee mana wakimuingiza romney white hse..america sijui itaelekea wapi
Kuna uwezekano Obama akawa One term President, jambo ambalo sitamsikitikia