and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,423
- 40,117
Naam Sheikh. Sunna!Mrudie!
Mtasimulia sanaKuna mwanamke nilikua nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango,, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi. wacha tu_pop champagne [emoji898]
ukiona hivi ujue bado unampendaKuna mwanamke nilikua nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango,, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi. wacha tu_pop champagne 🍾
Tuliza mshono wacha tuendelee tulipoishiaKwani wewe ndio ulikuwa mwanaume wake wa kwanza?
Kama sio jua atapata mwingine na mwingine na mwingine. Kikubwa uhai tu.
Kwa muda huu ambao anajipanga atakurudia kwa muda na kukuacha tena akipata mpenzi wa moyo wake na sio wewe boya.Kuna mwanamke nilikuwa nampelekea Moto kitambo, ghafla akadai anaolewa, akaomba mchango, harusi kuubwa. Leo hii napata WhatsApp message kaachika, Jimbo lipo wazi Kwa mara ya Tatu, ndani ya miaka miwili. wacha tu_pop champagne 🍾
Wahuni tunajipigia 'kuloweka' tuKwa muda huu ambao anajipanga atakurudia kwa muda na kukuacha tena akipata mpenzi wa moyo wake na sio wewe boya.