Ex-girlfriend wangu anahisi tumerudiana.

Nimeona ni bora nikutane nae ila co home then nimpe ukweli......
 
mkuu hii huwa inatokea sana, hasa kama ulimpenda sana na bado hujapata replacement! najua upo kwenye dilema ile mbaya.., kuiacha kuichapa papuchi hutaki na bado unaona noumer kumkubalia kirahisi. we fanya hivi, papuchi gonga ila usithubutu kumleta kwako. mkamalizane gest basi.

ukishagonga, then fikiria upya kama mnarudiana ndo utampeleka kwako, kama hujaridhika kurudiana nae basi uwe unamalizana nae gest akichoka atasepa..
 
Usifanywe JOGOO LA KUAZIMWA...
 

Eleza chanzo cha wewe kugombana nae bt kwenye red inaonyesha mwanamke alkufanyia uhuni mfano ulimfumania na unampenda na anajua huwez muacha sasa kama unaweza mpotezee akpga au kutuma sms usjibu wala kupokea smple lyk dat ila usjlambelambe mtoto wa kiume wewe komaa hamkuzaliwa wote
 
ukmuendekeza utamuoa na kwenye ndoa atatafta nyumba ndogo kwa sababu anajua huna ubavu wa kumuacha
 

Unataka kusema hawezi fanya Maamuzi bila kuichapa Hiyo papuchi kwanza, kweli kuna watu wanajua kutoa ushauri wa giza Nimeamini
 
Hivi kweli Mpenzi wako ukimfumania lets say na Mtu mwingine kumsamehe ni makosa makubwa?, au yeye hawezi jirekebisha baadaya hapo?

Kama unashindwa kufanya maamuzi yawezekana ni kwa sababu bado unampenda, Ufungue Moyo wako kwa mara nyingine mpe nafasi tena nadhani kama ni majuto ameshajuta na amejifunza kitu
 

kakaa kama huna intention za kurudiana nae usimuencourage kwa chochote..kua wazi plz mwambie ukweli aumie Mara moja then apone for good
 
U have the same situation like mine brotha..ila tumetofautiana kdogo mm nilishapata girlfriend mwingine. We mwambie ukweli tu ndio itakuuma na yeye itamuuma ila that is the only way out..i
 

Mi mwenyewe namshangaa...TRUTH SHALL KEEP YOU FREE!
 
Wewe ndio wale sitaki nataka mtu humtaki halafu unampa mixed signals maana yake nini ehhh?mtu kakuuliza kama unampenda unamjibu NDIO!Ni lazima atafikiria mmerudiana kwasababu umeshamwambia UNAMPENDA!Hujui unachokitaka au?Wewe huyo mpoteze tu au unajichimbia shimo la kujifukia!
 
Nimeona ni bora nikutane nae ila co home then nimpe ukweli......
kama bado unahisia nae!!!!,na kama ni kimwana kwa kwelikumpa makavu itakuwa shuguli ushauri wangu kama humtaki huna haja ya kukutana nae!!!,huko ni kujitia majaribuni tu!!
 
Mndengereko nimeshakutana nae na thanx God nimemwambia ila kaondoka akiwa amenuna kinoma.....
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ya aina hiyo yanaghalimu sanaaaaa.......!Hujui wapi mtu kapuyangia huko alafu anajileta tu,ushinde moyo au kama unarudiana nae bas kwa tahadhar sana.
Ila waonekana bado wampenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…