Ex Boyfriend/Girlfriend

kupasha kiporo? Aah wapi silagi vya jana napenda fresh
 
Last edited by a moderator:
!
!
pele na maradona wamestaafu soka ila danadana wanapiga...after all kiporo hakihitaji moto mwiiingi
 
Inawezekana unaletewa maradhi bila ya kujijua, kuwekini makini
 
Wee 16himself moto ni moto tuu unaunguza

!
!
si unajua tena tunajipaga vinoosweti.................kiporo cha ubwabwa hata na gazeti au mshumaa mkuu poa kinalika tu, na wakati mwingine hata bila kupasha ukiwa na chai ya moto. Kifupi ni kwamba kwa maex wetu tunatumia nguvu kidooogo tu basi hasa pale ambapo mliachana kwa heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…