EX-BF ananitaka tena na wakati kaoa tayari, nifanyeje?

Huwa sipendi hizi habari lakini naomba kuandika persoanl experience

Nilikua na dada mmoja mzuri sana tulipendana sana, lakini tukatenganishwa na mazingira(nilienda masomoni Ulaya). Niliporudi nikakuta yupo na jamaa mwingine mimi nikatafuta wangu haraka haraka nikaoa.

Lakini penzi alilopata kwangu halisahau ingawa mimi sikuwa mwanzilishi. Na kwa upande wangu nilikosa kitu fulani(sio tigo wengi mnaweza kufikiri) but kuna handling fulani nimeipata kutoka kwake tu, sijaipata sehemu ingine. Therefore tukawa tunafanya at least once in two months with all precaution... usiniulize kama tumeacha ama la.

My point hapa, sio kuhalalisha kutembea njee ya ndoa na wala sio kumvunjia heshima huyu binti kwa kumtaka kufanya nae ngono bali we had something in common na ndio kilichotufanya bado tuwe pamoja. Anaheshimu sana ndoa yangu na mimi namheshimu sana jamaa yake ingawa yeye hanifahamu na wala mke wangu hamfahamu.

Kitu kingine najua wanawake wengi wanakasirika sana pale mtu aliyeoa kutaka kufanya nae mapenzi. Kuna wakati mahusiano na mtu hayaishi kwa sababu mmoja amemletea mwingine mapozi bali ni factors nyingine which are beyond their control, thanks God this day kuna simu na mtandao mnaweza kukeep intouch kwa karibu zaidi.

Otherwise, kama bado mnamvuto ambao bado mnahisi.... Mimi naona msinyimane, lakini heshimuni commitment zenu na CHUKUENI TAHADHARI YA HALI YA JUUU(mimba, magonjwa, kuvunjika kwa ndoa, na Heshima yenu kwa jamii)

WAZEE WA KUCHOMA NDIZI
 
Huwa sipendi hizi habari lakini naomba kuandika persoanl experience

Nilikua na dada mmoja mzuri sana tulipendana sana, lakini tukatenganishwa na mazingira(nilienda masomoni Ulaya). Niliporudi nikakuta yupo na jamaa mwingine mimi nikatafuta wangu haraka haraka nikaoa.

Lakini penzi alilopata kwangu halisahau ingawa mimi sikuwa mwanzilishi. Na kwa upande wangu nilikosa kitu fulani(sio tigo wengi mnaweza kufikiri) but kuna handling fulani nimeipata kutoka kwake tu, sijaipata sehemu ingine. Therefore tukawa tunafanya at least once in two months with all precaution... usiniulize kama tumeacha ama la.

My point hapa, sio kuhalalisha kutembea njee ya ndoa na wala sio kumvunjia heshima huyu binti kwa kumtaka kufanya nae ngono bali we had something in common na ndio kilichotufanya bado tuwe pamoja. Anaheshimu sana ndoa yangu na mimi namheshimu sana jamaa yake ingawa yeye hanifahamu na wala mke wangu hamfahamu.

Kitu kingine najua wanawake wengi wanakasirika sana pale mtu aliyeoa kutaka kufanya nae mapenzi. Kuna wakati mahusiano na mtu hayaishi kwa sababu mmoja amemletea mwingine mapozi bali ni factors nyingine which are beyond their control, thanks God this day kuna simu na mtandao mnaweza kukeep intouch kwa karibu zaidi

Otherwise, kama bado mnamvuto ambao bado mnahisi.... Mimi naona msinyimane, lakini heshimuni commitment zenu na CHUKUENI TAHADHARI YA HALI YA JUUU(mimba, magonjwa, kuvunjika kwa ndoa, na Heshima yenu kwa jamii)

WAZEE WA KUCHOMA NDIZI

Mkuu Kichakoro,
Nimekusoma vizuri sana na ushauri wako mwanana uliojaa uzoefu.

Lakini nina swali la kizushi, hivi muda wowote kuanzia sasa ukijua kuwa mkeo bado anaendelea anampa mavituz ex-bf wake, utachukua hatua gani?
Hebu endelea kutupatia uzoefu wako mkuu.
 
sipendi kuichafua hii mada lakini naomba kutoka njee ya mada kuu kumjibu Pundamilia swali lake la kizushi.

Kuna bwana alikua anakaribia kufa hivyo akamwambia mkewe nataka kutubu ili nife salama. Akaanza kwa kumwambia '' Mke wangu nataka nikifa nifike huko kwenye mbingu, nimuone mungu hivyo naomba kutubu kwa yale niliokukosea. akaendelea kusema, naomba nisamehe maana nililala na dada yako, na rafiki yako kipenzi(shoga ake) na mama yako mdogo'' na Mkewe akamjibu nimekusamehe mmume wangu kipenzi na ndio maana nimekupa sumu ili ufe.

Moral of the story ni kwamba kama na wewe ni mtenda maovu basi kubali na kisha samehe na kuanza upya.
 
I salute you, kula tano. You sound like 'mseminari' au mwanafalsafa, yaani mkweli.

Sina nyongeza!!
 
Ahsanteni sana kwa mawazo yenu wana Jf. Ila naombeni mniombee ili ibirisi asije nishawishi nilale naye tena. Maana ex bf anang'ang'ania kama ruba.
 
Nina tatizo kama la Pretty ila sijampa nafasi maana alipokuwa anaoa hakufikiria?? Na baada ya ndoa anafikiri alifanya kosa na mby zaidi ndoa yake sasa hivi si nzuri anadai ameamua kuhama kwa mkewe na kurudi jijini, kisa they can't work out. Cha muhimu Pretty subiri utapata wako at the right time na nakuombea uyashinde hayo majaribu. Maana hawa viumbe kweli Mungu kawajalia
 
Prety mimi sioni kwa nini unapoteza muda wako ni hivi kwanza usimpe nafasi ya kumsikiliza hilo ni kosa kubwa sana halafu msahahu umfute kwenye historia ya maisha yako na kata mawasiliano naye ya aina yoyote ile wa nini bwana. aende huko kwa mke wake, halafu nadhani vitu vingine siyo lazima uwe na degree ndo uwe na jibu lake viko wazi kabisa.
 
...dots zinaonesha bado unakumbukia mapigo yake... ushauri mwema kwako ni kufanya uamizi sahihi. Ila kama vipi funga macho papasa gizani kisha baadae washa taa huku ukijiaminisha kuwa hujafanya dhambi yeyote wakati ukijipangusa midomo.

Hii biashara ya kumsingizia IBILISI imekuwa big this year, mbona hamuwasifii malaika au Mungu mnapo tenda mema?? kuweni fair
 
Nina tatizo kama la Pretty ila sijampa nafasi maana alipokuwa anaoa hakufikiria?? Na baada ya ndoa anafikiri alifanya kosa na mby zaidi ndoa yake sasa hivi si nzuri anadai ameamua kuhama kwa mkewe na kurudi jijini, kisa they can't work out. Cha muhimu Pretty subiri utapata wako at the right time na nakuombea uyashinde hayo majaribu. Maana hawa viumbe kweli Mungu kawajalia

nitafute nikupe ushauri mwanana jeni
 
Ahsanteni sana kwa mawazo yenu wana Jf. Ila naombeni mniombee ili ibirisi asije nishawishi nilale naye tena. Maana ex bf anang'ang'ania kama ruba.

Hee kumbe uking'ang'aniwa unatoa? masikini, pole sana kwa kutokuwa na msimamo. Unamruhusu shetani maana unadiriki kutabili kuwa "ibirisi asije nishawishi nilale nae". Anyway, haupo peke yako mwenye tabia ya kushawishiwa na ibirisi then ukalala na mume wa mtu. Asingekuwa ex-boyfriend wako, ila ana mke, angekwisha!!!!!!!! Mungu akusaidie katika haka kamtihani ka darasa la 2 (Hisabati) wewe ni PhD holder in Mathematical analysis. Pole Pretty
 
Prety mimi sioni kwa nini unapoteza muda wako ni hivi kwanza usimpe nafasi ya kumsikiliza hilo ni kosa kubwa sana halafu msahahu umfute kwenye historia ya maisha yako na kata mawasiliano naye ya aina yoyote ile wa nini bwana. aende huko kwa mke wake, halafu nadhani vitu vingine siyo lazima uwe na degree ndo uwe na jibu lake viko wazi kabisa.

hapo nilipokoleza text ni dhahiri unaongea imposibilities, Unajua kila embe lina utamu wake hivyo inawezekana ni rahisi kwako kumfuta mtu uliyempenda moyoni kwako ila si wote wawezao kufanya hivyo (mapenzi ya dhati).
Mimi nimeoa na ninatamani saaana kutembea nje ya ulingo ili kuweza kuilinda ndoa yangu... Kama hujaoa au kuolewa si rahisi kunielewa.
 
Hee kumbe uking'ang'aniwa unatoa? masikini, pole sana kwa kutokuwa na msimamo. Unamruhusu shetani maana unadiriki kutabili kuwa "ibirisi asije nishawishi nilale nae". Anyway, haupo peke yako mwenye tabia ya kushawishiwa na ibirisi then ukalala na mume wa mtu. Asingekuwa ex-boyfriend wako, ila ana mke, angekwisha!!!!!!!! Mungu akusaidie katika haka kamtihani ka darasa la 2 (Hisabati) wewe ni PhD holder in Mathematical analysis. Pole Pretty

kwi kwi kwi
hujatulia wewe
 
Ahsanteni sana kwa mawazo yenu wana Jf. Ila naombeni mniombee ili ibirisi asije nishawishi nilale naye tena. Maana ex bf anang'ang'ania kama ruba.

Kutokana na maelezo yako Pretty inaonekana bado unampenda sana. Kama huyo jamaa anapata access ya kukung'ang'ania kama ruba atakuwa bado yupo moyoni mwako. naomba kukuuliza swali la kizushi kwani wewe umeolewa?
 
..teh teh teh
 
Msanii hata kama unampemda mtu jaribu kumsahahu ukiendekeza utafanywa chombo cha starehe kila siku utakuwa used,halafu huyo mwanaume mwenyewe atakudharau baadaye, maana wanaume wa hivyo atakuganda utashidwa kupata wa kwako atajidai anakupenda na ataanza kumponda mke wake ili akuteke akili( wake up prety)
 
Back
Top Bottom