Je, ni kweli kama uliachana na ex-wako na hajawahi kukutafuta wewe ni mtu wa hovyo?

Sio kweli mkuu. Ndio maana unaambiwa mtandaoni nenda na akili zako timamu, ukienda kindezi utatoka upo stressed kupita maelezo.

Kuna sababu nyingi za watu kuachana. Kwa mfano, wewe uligombana na demu wako ukampasua jicho mkaachana. Will you expect her to find you again? For what by the way? Ili umpasue na hilo lililobaki au?
 
Aisee kumbe hapo nilidanganywa
 
Wa hovyo kabisa kumpasua jicho mwenzio. Na hutafutwi
 
Kikawaida kama hajapata mtu au nafasi bora kuliko wewe atakumbukwa.
Lakini kama amepata nafasi au mtu bora kukuzidi akukumbuke wa nini?
 
Kumtafuta mtu mliekwisha kuachana haitafanya mabadiliko yoyote ya kitabia jambo la msingi ni kutafuta mmbadala.. watu ni wengi
 
Ukiwa na mawazo hayo huto move on, akishakuwa ex whatever anakifanya hakikuhusu. Ni bora uka keep distance na endelea na maisha yako
 
Back
Top Bottom