Ex anasumbua sana...

Kama vipi, mpe ale bila kupasha..!!! kwani shingngapi banaa...!!!!??
 
Sasa mkuu unaomba ushauri wa nn? kama ukipewa bure, toa bure....
 
Mpe tgo
 
Ni sawa na ktembea na muwa kama fimbo, utautafuna tu. Hata wewe unataka hapa unavunga tu kama walivyo wadada na kawaida yao ya kuvunga kwanza. Urafiki gani wa kawaida
 
Tumia nguvu ya mwanamke awe mumeo;hayo mengine ya kupasha ni uamuzi wako.
 
Niliumwa mkuu, sikua na mtu mwingine wa kunisaidia zaidi yake. Alinipeleka hospitali usiku wa saa sita.
Ukitaka kula na wewe uliwe japo kidogo. Sasa we unataka kula tu we usiliwe?!! Si maneno yangu bali ya Mstaafu mmoja ninae muheshimu sana.
 
Wewe je, hauko kwenye mahusiano kwa sasa? Hebu tuanzie hapa.
 
Mwaka jana ulikuwa mwanaume, mpaka kufikia mwaka huu tayari jinsia imebadilika!!

Jf ina watu waongo mpaka shetani anatuogopa!!

Hebu pitia huu uzi wako wa mwaka jana mkuu[emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
saa nane usikuanakupa msaada gani zaidi ya kukugegeda?
 
Tafakari kwenye kicha chako kitu gan hasa wahitaji kwake, km ni mapenz muweke wazi na jinsi gan wataka yeye awe na km ni urafik bhac muweke wazi pia.

N.B: Ukikaa na toothpick mdomoni kwa muda kiasi huishia kuitafuna
 
Ushauri wangu umpe tu ya nn kuitesa nafsi kukataa kutoa kitu ulichopewa bure
 
Ujinga ni kumfanya ex best yako unatakiwa kaa naye mbali kama zile mita za ukishapiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…