Ex anasumbua sana...

Utatoa hutoi? Utatoa hutoi? Nasema utatoa hutoi? Utatoa hutoi?
 
Kwa hiyo hata yeye kitaka urafiki nami ni kwa ajili ya kunitumia?
Kwan ww haumtumii, mnatumiana! Na ww unamchakaza mwenzio wakti wa tendo usiwe selfish kwamba yeye ndo mfaidikaji ilihal ww ndio unagain 75% watalaam wanasema
 
Wewe ungekuwa mwanaume ungeuweza huu mtihanii wa kutoa bila kupokea?[emoji4]
 
Maelezo meeeeengi
 
Kama unapenda kampani yake kuwa tayari na hayo.
Kwa sisi wanaume wa bara hiyo tunaita kushikishwa pembe mkamuaji mwingine na ni tusi kubwa.
 
MPE anachokitaka urafiki urudii ama LA mwache aende kwenye utatu wake
 
Unampenda na unamtaka bado. Urafiki gani na ex wako!!!
Unataka kumpa ila nafsi inakusuta hivyo unataka tukwambie mpe tu ili uone ufanyacho ni sahihi. We fuata kile moyo wako unataka ila usiache kushirikisha ubongo wako.
 
Mpe,me mwenyewe bidada ex amenibana balaa et nimemic unavonitmbg .Sema nimpa tu sio issue kumnyima
 
Kilikua kiporo cha nini? Wali/makande?[emoji4]
 
Leo umekuwa ke? Hakika jamii forums ni Msitu mnene
 
Waswahilili wanasema ukila nanasi tunda lingine basi
 
Unampenda yeye kama rafiki au unapenda misaada yake ya hapa na pale

Uzoefu unaonesha Ma Ex hawajawahi kuwa marafiki bila kufanya X
 
ex are meant to be ex..vut communication...kuendekeza mahusiano ni katana kupasha kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…