The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
HUWEZI KUTEMBELEA MUWA KAMA FIMBO LAZIMA UTAUTAFUNA TUHabari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.
Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.
Tumekua marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.
Pia kwa mahusiano yake ana date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwann anachezea wasichana wa watu alinijibu kua bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.
Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kua lazima kua na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?
Toka jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
[emoji106]HUWEZI KUTEMBELEA MUWA KAMA FIMBO LAZIMA UTAUTAFUNA TU
Ndani ya kichwa chake ameshapanga kumpa tayariTukikushauri umpe utampa?
Hapo umenenaWewe sema bado unampenda haya kapashen
We binti kazania kusoma mapenzi yapo tu! We kiri tu jamaa alikugegeda kwa kutumia ukaribu uliokuwepo bila ya kukutongozaHabari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.
Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.
Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.
Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.
Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?
Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
Kwani ukimpa mkafanya tena kuna shida gani,by the way kazi gani hizo za kuja kukusaidia usiku wa manane mwambie tu awaache hao wengine ubakie wewe tu mbona maisha marahisi sana??!!Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.
Mwaka huu mwezi wa sita tulikutana naye, akafurahia kukutana nami. Tukaanza kuwasiliana. Akaniomba urafiki. Nikaona si mbaya.
Tumekuwa marafiki kwa miezi miwili sasa. Nikipata shida hata usiku wa manane anakuja na kunisaidia.
Pia kwa mahusiano yake ana-date wadada watatu kwa mpigo. Nilipomwuliza kwanini anachezea wasichana wa watu alinijibu kuwa bado hajapata mtu sahihi wa kutulia naye.
Jumamosi iliyopita yameibuka ya ajabu. Ex anataka kupasha kiporo nami, nikamkatalia na kumwelewesha kuwa lazima kuwa na msimamo. Kama ameniacha tupashe viporo hili iweje?
Toka Jumamosi mwenzangu urafiki ni wa kusua sua. Nami nampenda kama rafiki yangu. Wakuu nipeni ushauri wapi nakosea.
Hapana mkuu, tulitoka nae mbali, akanikosea sana ndipo tukaachana, lakini aliniomba msamaha na kutaka tuwe marafiki, nilifurahia urafiki wa kawaida kuliko kua mpenzi wake. Ninachotaka ni yeye kua kaka yangu kabisa na asinione kama demu anayeweza kumtafuna.Tukikushauri umpe utampa?
Niliumwa mkuu, sikua na mtu mwingine wa kunisaidia zaidi yake. Alinipeleka hospitali usiku wa saa sita.Kwani ukimpa mkafanya tena kuna shida gani,by the way kazi gani hizo za kuja kukusaidia usiku wa manane mwambie tu awaache hao wengine ubakie wewe tu mbona maisha marahisi sana??!!