Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,734
Ndio maana unakosa furaha ya roho,punguza visasi...na hasira kwa waliokuuudhi....Amsaidie Nini ..huyo mwanaume angekuwa mzima Wala asingemkumbuka huyo Dada..kwanini abebe mizigo ya huyo mpuuzi...Uangaike na madawa apone na bado akuache kwakua hakuwai kukupenda Tangu mwanzo.
Kumsaidia mtu katika matatizo yake especially male Sio guarantee kuwa eti atakujali nakukupenda...No
Mkuuu....nimesoma Sana wanaume wanaopata matatizo ya namna hiii..wengi huamini mwanamke ndo chanzo..wataanza kumbia ananuka ndonmaana hasimamishi..wengine huwatukana Sana wanawake wao...ili wanawake wajione ndo sababu ya mwanaume kuwa hivyo..Oya, hivi wewe mwenzetu tunajadili uzi huu huu au wewe unachati na mleta mada private? Maana naona una information nyingi ambazo sisi wengine hatuna.....! We hizo taarifa unazitoa wapi?
Mkuuu...Sina kisasi Wala hasira na mtu yoyoyete alioniuzi Wala kunifanyia mabaya...Mimi Sijawai hata kulipiza kisasi katika maisha Yangu...Naongea kwa mujibu wa experience ya.mambo nliosoma na Mambo nlioshuhudia..Ndio maana unakosa furaha ya roho,punguza visasi...na hasira kwa waliokuuudhi....
Sometimes destiny finds itself...
Mkuuu..Huyu angekuwa mwanaume.. mwanamke.karudi baada ya Miaka.miwili.anagono sogu na mtoto juu...Ndio maana unakosa furaha ya roho,punguza visasi...na hasira kwa waliokuuudhi....
Sometimes destiny finds itself...
Karudi kutafuta suluhu...kweli mkuuu ANAHAHA mwanaume masikini.
Visasi vinatanguliwa na nia(+maneno) kabla ya vitendea kaziMkuuu...Sina kisasi Wala hasira na mtu yoyoyete alioniuzi Wala kunifanyia mabaya...Mimi Sijawai hata kulipiza kisasi katika maisha Yangu...Naongea kwa mujibu wa experience ya.mambo nliosoma na Mambo nlioshuhudia..
Basi Mimi Sina hata Nia ya kuwafanyia baya Watu walionifanyia mabaya. Mimi naishi very peaceful, ila SIWEZI ku entertain upuuzi Kama huuu...Visasi vinatanguliwa na nia(+maneno) kabla ya vitendea kazi
Pole umeumizwa sana ktk mahusiano yako ndio maana unaona upande mbaya tu wa Me,.... Mwanamke hajataka aolewe ,AMESEMA HURUMA YA KIBINADAMU IMEMUINGIA AMSAIDIE....acha Mara moja kumshauri vibaya.....kwani alikuambia waligombana au ndugu ndio waliiingia kati penz likavunjika???? Hao hawakuachana kwa ubaya kama ulivyo experience...ndio maana ubinadam bado upo...Mkuuu..Huyu angekuwa mwanaume.. mwanamke.karudi baada ya Miaka.miwili.anagono sogu na mtoto juu...
Ungemshaurije...Naona ikiwa shida Ni mwanaume..wanaume mnajifanya kuwa na huruma Sana...
Huko aliko kaa Miaka miwili ndo huyo wakazunguke nae kwa Mwamposa kupata suluhu...Huyu yeye alishaachwa na hapendwi na hata Akipona huyo bado SI changuo lake..
Watu wametoa Figo na wameachwa..ije kuwa Huyu wakumsindikiza kwa Mwamposa
1st option,is what she need....2nd is yours,not her choice.Basi Mimi Sina hata Nia ya kuwafanyia baya Watu walionifanyia mabaya. Mimi naishi very peaceful, ila SIWEZI ku entertain upuuzi Kama huuu...
kumsaidia mwenye shida is one thing but kumsaidia ukitarajia akupende Tena that's another thing.
Chumbani na ex!Jaman nilichokiona Mungu ndo anaejua maana sijawahi kuona kuanzia nazaliwa maumbile ya mtu mzima yasinyae yawe kama ya mtoto mchanga tena yamelegea haswa
Mkuu...hata mwanaume akimsaidia mwanamke wengi hutaka kumlalal..Sio wote..Pole umeumizwa sana ktk mahusiano yako ndio maana unaona upande mbaya tu wa Me,.... Mwanamke hajataka aolewe ,AMESEMA HURUMA YA KIBINADAMU IMEMUINGIA AMSAIDIE....acha Mara moja kumshauri vibaya.....kwani alikuambia waligombana au ndugu ndio waliiingia kati penz likavunjika???? Hao hawakuachana kwa ubaya kama ulivyo experience...ndio maana ubinadam bado upo...
THIS CALLED LIFE AFTER MOVE ON...
Kaona nyingi...nakaona ya mtoto pia ndo maana kafikia hiyo conclusion...Kama Ni umalaya ...msimuhukumu..wewe huna usafi wowote hapo.ulipo.Chumbani na ex!
kukubali kusex!
mbooh yake imelegea na hujawahi kuona!
maneno yako' yanaonyesha we ni malaya mkuu
Nb. kwani tangu umezaliwa' umeziona mboo ngapi mh. spika
Aliomba ushauri..maamuzi Ni Yake..1st option,is what she need....2nd is yours,not her choice.
Suala la huyo dada kutoa penzi ni moja na kumsaidia ni jingine.Nani Yangu ikitoa harufu...nikaja kwako nikawambia nanii Yangu inatoa harufu ukaniambia nenda kwa Gynacologist mmoja mtaalamu atakusaidia ..sawa..Sio useme hebu nihakikishe then ntakusaidia.
Sasa huyo mwanaume hakuja kutaka kusaidiwa Mbona hakumwmbai bidada shida Yake kabla na Nia Yake ilikua kumlala...Sasa unataka huyo Dada amsaidie na atajuaje Kama kapona?
SI itabidi wakitumia dawa..wanajaribu kujua Kama kapona...na huyo Dada atakavyozidi kuwa karibu nae atampenda kwa huruma Yake..kwasababu bado kunachembechembe za upendo kwa huyo mwanaume.
Mwishi wa siku kama anamwanume mwingine atampoteza abaki na huyo HANITHI.
Huko aliko kaa Miaka miwili ndo huyo wakazunguke nae kwa Mwamposa kupata suluhu...Huyu yeye alishaachwa na hapendwi na hata Akipona huyo bado SI changuo lake..
Kabisa...kujitwisha mizigo isiyo lazima kisa huruma...Kwa maneno mengine unataka kusema huyu dada ana KIHEREHERE?
Huyo Kaka anahitaji msaada mkubwa.. Msiwe wenye kuweka hila na chuki mioyoni...Amsaidie Nini ..huyo mwanaume angekuwa mzima Wala asingemkumbuka huyo Dada..kwanini abebe mizigo ya huyo mpuuzi...Uangaike na madawa apone na bado akuache kwakua hakuwai kukupenda Tangu mwanzo.
Kumsaidia mtu katika matatizo yake especially male Sio guarantee kuwa eti atakujali nakukupenda...No
🙂 hivi na Adamu angefanya nginjanginja.. tunda hali.. na anamuita Mungu ajionee Hawa alichofanya... Ingekuwaje!?Kabisa...kujitwisha mizigo isiyo lazima kisa huruma...
Ndo Kama wale wanaume wanaondoka kwenye familia Miaka 20 wametelekeA watoto..alafu anarudi na kisukari, pressure na Stroke anavaa pampas... Anasema nisamehe mke Wangu ndoa yetu ya kanisani kutengana Hadi kifo..Ni shetani
Huyo aliekuwa na Miaka 20 yupo wapi.