Ex amerudi kwangu

Wewe ni cheap, stupid ass bitch!!! akili unayo kwel yan mtu mmepotzana 2 yrs tena yeye ndo kakuacha then unampanulia mapaja kirahis hivyo !! Je boyfriend wako akijua haya?? Je kama angekuwa ana ukimwi ingekuaje!! Jokajeusi alikuwa yuko sahihi sana kusema tuoe bikra maan wanawake kama hawa ndo wanatukatisha tamaa ya kuangaika na midemu iliyotumiwa na kuachwa maana mda wowote wanapasha kiporo!!
 
Jamaa itakuwa sababu ya kurudi kwa Ex wake, anahisi walivyoachana demu alimroga


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Demu nae atakuwa stressed some how.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Sawa sitarudia tena kua cheap
Kama bado unampenda kaa nae umsaidie, unaweza kuitwa cheap lakini katika maisha ya mahusiano kila mtu ana udhaifu wake, huenda bado unampenda huyo jamaa na ndio maana ukakubali hata kuingia room japo ilitakiwa mkae chini kwanza muongee mambo ya msingi kuhusu ninyi wawili.


Mwambie akisema ukweli basi itakuwa rahisi kumsaidia. Huenda ni punyeto ikiyopitiliza, huenda kapatwa na maradhi kama sukari au huenda kaingia choo sio chake.

Kama unampenda msaidie, wangapi wamerudiana na wapenzi wao wa zamani bwana!
 
Sio lazima asaidie ili apendwe au aolewe. Anaweza saidia tu akamwacha aende akiwa mzima. Nanii yako ikianza kutoa harufu mfululizo unadhani atakayekusaidia ni mumeo au unayempenda tu? Anaweza tokea mtu ambaye wala humtaki au ulimkataa akakupa njia na ukipona ukarudi kwa mumeo au mpenzi ambaye hakuwa na namna ya kukusaidia.
 
Mimi ulichonifurahisha ni jinsi ambavyo unajipeleka mwenyewe room, hii inaonyesha ni jinsi gani unamfeel jamaa au umelimiss haswa penzi lake. Sio vibaya, kama kweli bado unampenda mpiganie!
 
Umekuwa lini mwanaume mkuu? Kitu kidogo tu kinamuathiri mwanaume kwa kiwango kikubwa sana, hasa hilo la ugumu wa maisha, asikwambie mtu.
 
Ok,baada ya kumtukana sana mmeamuaje?
Sababu ya hio penis kukosa nguvu ni nini??
 
Yan kwl wanawake mnashida.. yan mtu mlishaachana miaka mingi iliyopita, leo hii anakujia kirahis hivyo tena kwa mara ya kwanza mnaonana unakuw tayar kulala naye??, Nikupe pole tu kw kwel.. wanawake mnakuw rahisi hivyo kwann.
Genye
 

Jaman nilichokiona Mungu ndo anaejua maana sijawahi kuona kuanzia nazaliwa maumbile ya mtu mzima yasinyae yawe kama ya mtoto mchanga tena yamelegea haswa
 
Jaman nilichokiona Mungu ndo anaejua maana sijawahi kuona kuanzia nazaliwa maumbile ya mtu mzima yasinyae yawe kama ya mtoto mchanga tena yamelegea haswa
Kuishi kwingi kuona mengi 🤣🤣
 
Ameshaathirika kisaikolojia analia yupo kama chizi anaongea mwenyewe
Dah pole yake mshauri arudi kwenye ibada na kusali Sana, naona ataacha uzinzi wake. Na aache kulia lia
 
Wanaume bwana eti amsaidie...Imagine angekuja mwanaume na bandiko hapa Ex karudi na mtoto wa mwanaume mwingine...anataka warudiane...


Kingewaka Moto humu..
 
Nani Yangu ikitoa harufu...nikaja kwako nikawambia nanii Yangu inatoa harufu ukaniambia nenda kwa Gynacologist mmoja mtaalamu atakusaidia ..sawa..Sio useme hebu nihakikishe then ntakusaidia.

Sasa huyo mwanaume hakuja kutaka kusaidiwa Mbona hakumwmbai bidada shida Yake kabla na Nia Yake ilikua kumlala...Sasa unataka huyo Dada amsaidie na atajuaje Kama kapona?

SI itabidi wakitumia dawa..wanajaribu kujua Kama kapona...na huyo Dada atakavyozidi kuwa karibu nae atampenda kwa huruma Yake..kwasababu bado kunachembechembe za upendo kwa huyo mwanaume.

Mwishi wa siku kama anamwanume mwingine atampoteza abaki na huyo HANITHI.
 
Alikua anataka kujua Kama uume wake haufanyi kazi.kwa.mkewe au mpnz wake TU au kwa watu wote.


Mwambie apime kisukari...anaweza kuwa Anaiyo shida.
Limbwata hyo....kisukari angeshaamza dozi Hosp...ila yuko dillema, hajui sababu ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…