Ndiyo Mr Kuku Akazoa Cash, Yaani Mpaka Sasa HiviMitano tena iligoma πππ
Eti Dead penis...DuuuhKweli Haa
Tanzania Ni Tajiri
Umeachana Naye Miaka Miwili Akakuita Ukaitikia Wito
Akachukua Room Nawe Ulikuwa Unakwenda Kutekeleza Mitano Tena!!! Bahati Mbaya Ukakutana Na Dead Penis
Jiongeze Kidogo Fanya Maisha Kuwa Rahisi
Umemuuliza Hakujibu Analia Tu. Achana Naye Huo Ni Mzigo, Kuendelea Naye Unapoteza Muda
Cha Kufia Nini? Achana Naye Usihangaike
Njoo PM
Nasoma komenti
Jamaa bana akaona kuna mbuzi wake ngoja ajaribishe aone kama mbooo inafanya kazi au lah
Hapo Kama Noma Na Ile Noma!!!Eti Dead penis...Duuuh
Mkuu huna huruma kwa mwanaume mwenzio..kafikwa na mtihani.
Ila naunga mkono hoja...Angekuwa nae mda wote huo na akapatwa na hii shida..angevumilia wakitafuta suluhu...Ila mtu katokomea karudi Na Tatizo...nawewe unalibeba..Nop
Atakubali kuolewa nae..alafu mwanaume anaamka usiku anakutandika mkanda balaa anadai mtoto...Unajiuliza mtoto nampataje..hajali...kumbe masikini stress zake Anaamua kumalizia kwa bidadaKusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni!!!
Mkuu..uchaguzi Huuu Sina lakusema ila...Umeniuma Kama uchungu.Hapo Kama Noma Na Ile Noma!!!
Huyo Ameulizwa Tatizo Limeanza Lini? Analia
Hapo Aangalie Mbele Tu
Mchuma Janga Hula Na Wa Kwao.
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano.
Jamani..Mimi Ex siendekezi....nikiona tujina lako ushakula block...SITAKI UPUMBAFUUngejua kwanini huyo jamaa alirudi kwako!!
Ungemblock hadi kwenye njia ya kuja kwako
Wahuni Wale Wameiba Mpaka Aibu Halafu WanajisifuMkuu..uchaguzi Huuu Sina lakusema ila...Umeniuma Kama uchungu.
Noma Sana..Wahuni Wale Wameiba Mpaka Aibu Halafu Wanajisifu
Ninakiona Kwa Mleta Mada Ni Hiki Hapa Chini:-Atakubali kuolewa nae..alafu mwanaume anaamka usiku anakutandika mkanda balaa anadai mtoto...Unajiuliza mtoto nampataje..hajali...kumbe masikini stress zake Anaamua kumalizia kwa bidada
Yuko tayari kwa mitano tenaWatu naona mnakomenti kwa hasira za mwali kutoswa na jamaa akaoa mwingine, lakini hamuangalii kwamba bibie anaonekana wazi bado anampenda sana jamaa, ingawa kwakumsoma binti bado hajitambui kwamba anampenda mshkaji ndio sababu anakosa maamuzi.
Asingelia machozi...Huyo yamemfika makuubwa.Inawezekana hana tatizo lolote
Ni vile tu hana mzuka na wewe
Mkuu ..chongo kweli anaweza akawa Hana jicho moja..hasikii au nikipofu au Hana mguu..au au au..lakini Sijawai sikia chongo la mtu Hana papuchi akaolewa..Ninakiona Kwa Mleta Mada Ni Hiki Hapa Chini:-
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza
Kwa hakika mwali, lakini wachangiaji wengi wanasukumwa na hasira za root course, badala ya kumsikiliza binti na kumtafutia solutions.Yuko tayari kwa mitano tena