gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,670
- 2,165
kuna kiongozi mmoja alikuwa anaongea na wananchi wa mtwara wanaolalamikia kusahaulika kwa upande wa viwanda eti akawaambia viwanda vimekwama kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta duniani na wao wakaona sawa