EWURA, kama huduma ya kutoa taarifa za bei ya mafuta imewashinda ifuteni!

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,605
15,937
Kuna huduma kwenye mitandao ya kutaka kujua Bei za mafuta kwa kupiga *152*00# na inakuletea mpaka machaguo ya sehemu ulipo.

Cha ajabu ni kwamba huduma hii haijawahi kurudisha ujumbe wa Bei za mafuta katika maeneo yaliyoorodheshwa.

Nawashauri kama huduma hii imewashinda ifuteni maana inakua haina maana. Au kuna uwezekano kuna hujuma inafanywa kwa ushirikiano na wafanyabiashara wa mafuta kwa maslahi yao binafsi. Ni hayo tuu jirekebisheni EWURA.
 
Kuwa mpole wiki hii haishi na wao bila kufumuliwa. 😅😅😅😅😅😅😅Tunataka mkurugenzi mpya na bodi mpya na wafanyakazi wengine wanahamishiwa ofisi ya Rais.
 
Back
Top Bottom