Ewezekano wa fresh from school kukimbiza vyuoni kuwazidi wakujiendeleza

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,250
2,000
Nimesika watu kadhaa wanasema watoto wa fresh from school wanaongoza darasani mavyuoni kuwazidi wakujiendeleza hivi hii ni kweli? Au propaganda? Karibuni tuwekane Sawa hapa
 

sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,152
2,000
Swala la kuongoza inategemea na uwezo wa mtu wala sio either fresher au wanaojiendeleza Ila kuna scenarios zinaweza kusababisha mtu aongoze kutokana na uhusiano wa vitu anavyosoma mtu na vile alivyokuwa anasoma kabla.

Mfano, mtu mwenye diploma ya account akaamua kujiendeleza immediately after kumaliza diploma yake anaprobability kubwa ya kufanya vzr kuliko mtu anayetokea hge,hgl...kufanya vzr, unless awe smart kichwani...

Hapo hapo kwenye huo mfano, mtu aliyesoma ECA advance... anaprobability kubwa ya kufanya vzr kwenye kozi zinazohusiana na uhasibu kuliko wale wanaojiendeleza Ila hawakuwa na background inayohusiana na uhasibu.

Hivyo hvyo kwenye kozi za education. Wanaojiendeleza wengi Huwa walishasoma mambo mengi, wanakuwa kama wanafanya rivision ya mambo.

Tatizo pia wengi wa wanaojiendeleza Huwa wanamajukum mengi (family issues.... performance inakuwa ndogo saana
 

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,923
2,000
Aliyeandika Uzi huu atakuwa yupo chuo mwaka wa kwanza na chuo chenyewe kina equivalent entry wengi .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom