Ewe Tanzania yangu sisi tuko hapa. Huko kwenye mambo mengine sio mahala petu

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,730
10,033
Nchi ya maziwa na asali lakini imenyimwa upeo mkubwa kwa watu wake.

Ni bora sasa angalau kuna kitu inaweza kujivunia duniani na kujipiga kifua ikisema 'mimi Tanzania ni bora kwenye jambo hili.'
 
Back
Top Bottom