Ewe Mwanamke Je unafahamu umuhimu wa kumwagiwa ndani.....?

Mzee baba hongera kwa utafiti ila naomba ufafanuzi katika haya yafuatayo;
Kwanza kabisa kazi ya semen/shahawa ni kubeba sperms pia huwa na mchanganyika wa alkaline solution ili kunutrilize ile acid condition katika uke ili kufanikisha utungishaji wa mimba sasa kama kuna nutrients za ziada hebu funguka mkuu

Na kama baada ya kutaja hizo nutrients utueleze ni mechanisms gani hasa zinazotumika na uterus wall kufyonza hizo nutrients na kuingia kwenye mzunguko wa damu
 
Ndugu wanajukwaa pendwa Leo hii nimeona niwatajie baadhi ya faida na umuhimu wa shawaha kwa mwanamke kama ifuatavyo...

(1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa na virutubisho vingi vya protini.

(2) Humsaidia mwanamke kutengeneza ngozi yake kwa virutubisho vya shahawa na sio kupaka usoni.

(3) Humuongezea mwanamke urembo zaidi hasa wa macho. Macho yanakuwa meupe na mazuri zaidi.

(4) Husaidia mwanamke kuwa na sauti nzuri zaidi kwa kuwa shahawa hutengeneza ala nzuri za sauti katika mfumo wa sauti.

(5) Husaidia mwanamke kuwa na akili nyingi zaidi katika mfumo wa fahamu. Shahawa hukimbilia katika muundi wa mgongo na kumfanya mwanamke kuwa na mgongo na mifupa imara na milaini.

(6) Humfanya mwanamke kutokuwa na tatizo la kupoteza fahamu na maradhi ya kuchekacheka.

(7) Husaidia kizazi cha mwanamke kisiwe na maumivu ya mara kwa mara, hasa kinapoingia baridi


Kama unajua faida nyingine pliz tujuze.......?
mbona hujatoa na faida za wale wanaoabudu 0713?
 
Back
Top Bottom