Ewe Muislamu, Ikubali kwanza BAKWATA kabla ya kuihitaji Mahakama ya Kadhi

Wakati mnaendelea na huu mjadala, mtambue kuwa wafuasi wa dini ya Allah wamejitoa Muhanga misikitini huko Yemen, mpaka sasa wafuasi 137 wa mafunzo ya Mohammed tayari wamekufa. Wajitoa Muhanga hao wameandaliwa na Marekani, Israel pamoja na makafir wengine

BBC News - Yemen mosque attacks in Sanaa 'unprecedented'

BBC News - Yemen crisis: Islamic State claims Sanaa mosque attacks

CC kahtaan, BONGOLALA,FaizaFoxy, Ritz, THE BIG SHOW

Hata ukraine pia yapo
Matatizo ya kisiasa na kiuchumi na ukarabala hauizii machafuko
Serikali na wabunge kuelemea upande mmoja hauzii kuleta fujo
Iwe ukraine congo rwanda au yemen penye dhulma binaadam atafanya chochote kunusuru kizazi chakea
Hayo si ajabu ni mapambano vi vita na huwa havichagui
Mbaya ni makafiri kama marekani kuingia msikitini na kuua watu in cold blood kama walivofanya Faluja na Afghanstan
Kwa hiyo munapinga mahakama ya kadhi ili hayo yeje hapa kwetu ?
Mahakama hio itakuja tu time will tell
 
Wewe aliekuambia kuwa afghanstan na pakistan ni nchi za kiislam nani?

Also unataka kufananisha nchi hizo na vatican??hivi una akili timamu wewe au akili finyu kama mchungaji wako mtikila??

Leta fact sio kejeli..tupe ushahidi wapi wanasema Vatcan sio NCHI??..Alafu usiwe mwongo,mbona Vatcan nimefananisha na Iran,vipi mbona hujaitaja?...

Hahaha,eti Pakistan,na Afghanistan sio nchi za Kiislamu.Ndugu yangu,penda kujifunza kwanza kabla hujaanza kubisha.This makes me wonder,kama hujui nchi zinazoitwa Islamic Replublic....hiyo mahakama ya kadhi utaiweza???...si ajabu, hujui unatetea nini.
 
Kabla ya kuanza kurusha maneno ovyo km waimba mchiriku lzm ufahamu maana ya Nchi kuitwa ya Kiislamu au Kigalatia.

Ukiskia nchi hii ya KIISLAMU maana yake Sheria Za Nchi hio lazima zifuate Sheria Za KIISLAMU (ISLAMIC JURISDICTION).
Ndio maana Mwalimu THE BIG SHOW akakwambia Kuwa Afghanistan na Pakistan Juu ya kuwa na waislamu wengi na Pakistan Kujiita Islamic Republic lln SHERIA ZA NCHI sio SHERIA za Kiislamu.
Na hatta VATICAN ambayo mnaiita Nchi yq KIKRISTO hilo sio kweli hatta kidogo.
Haka Ka Nchi sheria Zake zote ni Sheria zilizotungwa na Nchi Mama ambayo ni ITALY na hakuna Nchi hatta moja DUNIANI inayofuata Sheria Za BIBILIA.

Lkn kwa Upande wa Waislamu Tunazo baadhi ya Nchi ambazo SHERIA ZAKE ZOTE NI SHERIA za Kiislamu, na mfano wa Karibu ni Saudi Arabia.
Shule ni kitu muhimu sana ndugu mgalatia.
Ubishi waachie Walevi.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mnaendelea na huu mjadala, mtambue kuwa wafuasi wa dini ya Allah wamejitoa Muhanga misikitini huko Yemen, mpaka sasa wafuasi 137 wa mafunzo ya Mohammed tayari wamekufa. Wajitoa Muhanga hao wameandaliwa na Marekani, Israel pamoja na makafir wengine

BBC News - Yemen mosque attacks in Sanaa 'unprecedented'

BBC News - Yemen crisis: Islamic State claims Sanaa mosque attacks

CC kahtaan, BONGOLALA,FaizaFoxy, Ritz, THE BIG SHOW

Unanletea habari ya Yemen inisaidie nini mimi?
Yemen Wanaopigana ni baina ya waabudu Jiwe Na Waislamu.
kule Northern Ireland wanaochinjana Wote ni wafuasi wa Yesu .
Protestants wanachinja Catholics na Catholics wanachinja Protestants
Na kila mmoja anamuita mwenzake Shetani lkn SANAMU LAO wanaloabudu Ni MOJA TU! na kila mmoja akiua mwenzake anamsifu yesu kwa msaada aliompa.

NA Habari zao wanavyochinjana Nyie wa huko Itetemya wala Hamuwezi kuzipata manake Makafiri wenzao wanazikalia Ili wafiche kashfa zao.
 
Inshallah, bila shaka Allah kawaandalia zawadi hii wajitoa Muhanga

Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
 
Mlevi alipita mtoni akakuta watu wanabatizwa,mlevi akajua kuna kitu wanakitafuta kwa kuwa mchungaji alikuwa anawazamisha na kuwatoa kwenye maji,mlevi naye akapanga folen ilipofka zamu yake mchungaji akamzamisha alipomtoa akamuuliza, umempokea yesu? akajibu hapana, akamzamisha tena akamuuliza, umempokea yesu? akajibu bado, mara ya tatu akamuuliza umempokea yesu? mlevi akasema, mchungaji una uhakika alizama maeneo haya au tunahangaishana tu?
 
Kijana naona unapata tabu na watu wasio kuhusu.
Hili swali kwanini usiwaulize hawa wafadhili wako hapo kwenye hii picha wanaokupatia rizki.?
Au unaogopa kutia mchanga kitumbua chako.!

View attachment 236226

Hapo umepiga tai ka matapeli wa tabata wakati matajiri zako wamevaa kawaida tu! Umekaa standby unasubiri kutumwa kibiriti au Soda fasta.

Umechomoza kichwa ka koboko!

Waulize hao matajiri zako wa KIISLAMU hili swali uone km hukulala njaa!

Halafu mbaguzi ni yule anaewaondoa waislamu ktk chama Chenu kwa kuleta sababu za kijinga.

kweli angeanza kuwauliza hao mabwana zake,pilipili usiyoila yakuwashiani
 
Mlevi alipita mtoni akakuta watu wanabatizwa,mlevi akajua kuna kitu wanakitafuta kwa kuwa mchungaji alikuwa anawazamisha na kuwatoa kwenye maji,mlevi naye akapanga folen ilipofka zamu yake mchungaji akamzamisha alipomtoa akamuuliza, umempokea yesu? akajibu hapana, akamzamisha tena akamuuliza, umempokea yesu? akajibu bado, mara ya tatu akamuuliza umempokea yesu? mlevi akasema, mchungaji una uhakika alizama maeneo haya au tunahangaishana tu?

Jamaa mmoja aliota yuko akhera, akaona watu watu wanagawana Mabikra, msimamizi wa kugawa mabikra akamuuliza, wewe unahitaji mabikra kwani umefanya nini hata utake tukupatie mabikra?, jamaa akasema mimi niliamasisha amani duniani, yule mgawaji akasema, hawa mabikra ni kwa ajili ya waliojitoa Muhanga kwa ajili ya Allah, ikabidi yule jamaa aombe ruhusa ya kurudi tena duniani ili avae bomu na kujitoa Muhanga
 
Wewe ndio unadharaulika,hivi ulikosa mijadala sehemu husika hadi alete kafiri Yericko ndio uone mtetezi,bakwata iliundwa na nyerere na waislam halisi hatutachangia humu yale yetu ya moyoni
 
Hapo nilipokuwekea nyekundu unataka kutuaminisha uongo. Hebu tuelezee hayo "mapinduzi yakiwa na chembe za kidini" ni yepi hayo?

Au una historia mpya ya Tanganyika na Tanzania ambayo hatuijui?

Elezea hayo mapinduzi ni yepi na ilikuwaje. Usituuzie mbuzi kwenye gunia.

Dadangu Fayzafoxy heshima kwako! Ninakusoma kwa muda sasa kiasi nakaribia kufikia hitimisho juu ya misimamo yako kisiasa na kijamii. Ni ukweli ulo dhahiri kabisa kwamba kuna mafungamano makubwa, tena ya enzi baina ya Chama na BAKWATA. Tukiongozwa na fikra ya ujenzi wa Afrika iliyo moja kwa mfano, ikiwa ni dhana ya kisiasa iliyoshamiri miongoni mwa wanasiasa waliopigania Uhuru nchi zao kama Dr. Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba, na kwa unafiki Mwl. Nyerere na baadaye Col. Muammar Gaddaffi kwa kuwataja wachache, je, Jumuiya ya Kiislam ya Afrika Mashariki (EAST AFRICAN MUSLIMS WELFARE SOCIETY) haikuwa kielelezo na kichocheo cha uundwaji Afrika moja kisiasa? Kwa nini kuivunja na kuanzisha jumuiya ndogo inayoishia ndani ya mipaka ya nchi?! Utekelezaji wa dhana hiyo kwa Nyerere nimesema ni wa kinafiki kwa sababu alipinga mawazo ya Dr. Kwame Nkrumah aliyetaka nchi za Afrika ziungane kadri zinapopata Uhuru moja baada ya nyingine, naye kuja na hoja ya Muungano wa kikanda, kama Afrika Mashariki nk. ambayo haikudumu zaidi ya miaka kumi! Kati ya Nyerere na Nkrumah nani alikuwa sahihi? Tangu kuundwa kwake Bakwata imeleta ustawi kwa kiwango miongoni mwa jamii ya kiislam nchini?! Mafungamano baina ya BAKWATA na Chama hicho kikongwe cha siasa yana tija gani kwa Waislam wa nchi hii? Kwa Nyerere kiongozi wa TANU na baadaye CCM kuivunja EAMWS ilikuwa kuimarisha ustawi wa Waislam au kudhoofisha?!
 
Leta fact sio kejeli..tupe ushahidi wapi wanasema Vatcan sio NCHI??..Alafu usiwe mwongo,mbona Vatcan nimefananisha na Iran,vipi mbona hujaitaja?...

Hahaha,eti Pakistan,na Afghanistan sio nchi za Kiislamu.Ndugu yangu,penda kujifunza kwanza kabla hujaanza kubisha.This makes me wonder,kama hujui nchi zinazoitwa Islamic Replublic....hiyo mahakama ya kadhi utaiweza???...si ajabu, hujui unatetea nini.

Hao watakuchosha tu mkuu, ni wajinga wa mwili, akili na roho
 
Unanletea habari ya Yemen inisaidie nini mimi?
Yemen Wanaopigana ni baina ya waabudu Jiwe Na Waislamu.
kule Northern Ireland wanaochinjana Wote ni wafuasi wa Yesu .
Protestants wanachinja Catholics na Catholics wanachinja Protestants
Na kila mmoja anamuita mwenzake Shetani lkn SANAMU LAO wanaloabudu Ni MOJA TU! na kila mmoja akiua mwenzake anamsifu yesu kwa msaada aliompa.

NA Habari zao wanavyochinjana Nyie wa huko Itetemya wala Hamuwezi kuzipata manake Makafiri wenzao wanazikalia Ili wafiche kashfa zao.

Nyinyi nyote bila kujali Shia wala Sunni wote waabudu shetani tu, tatizo mko gizani na mmefungwa akili, hayo matendo yenu tu ya kuripukiana kwenye misikiti ni sura halisi ya mnaemuabudu. Pia kujiripua kwenu kumesemwa na Yesu miaka 2000 iliyopita (Yohana 16:2-4 ), Pia ujio wa mtume fake umeelezewa hapa kwa kupitia matunda yake (Matayo 7:15-20)

Dini pekee inayotoka kwa Mungu ni Ukristo, sababu ya ukristo kuwa dini ya kutoka kwa mungu ni kama ifuatavyo
1. Kuja na kuondoka kwa muanzilishi wake ni kwa miujiza, alizaliwa bila baba

2. Muanzilishi wa dini (Yesu) hii kupitia miujiza yake inaonesha dhahili katoka kwa baba Yetu

3.Yesu ametabiri mambo mengi ambayo tayari yametokea na yanaendelea kutokea,ikiwemo wajitoa Muhanga kwa ajili ya Mungu

4. Biblia ni kitabu pekee chenye maelezo yenye mtiririko mzuri wa matukio ya Kimungu, hata Waislam wenyewe wakitaka kujua historia ya Ibrahim na Musa ni lazima wachukue Biblia. Ni dhahili kwamba Biblia imekusanywa kwa nguvu za Roho mtakatifu

5. Ukristu ni dini ambayo imeweza kudumisha amani, kusaidia wasio Wakristo kwa njia ya Shule, Hospitali duniani kote mpaka leo, ukristo hauna jina la dhalau kwa wasio wakristo, maana wakristo wanaamini mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Baba alie mbinguni

NB: Yesu alikuja kufunga ukurasa, nje ya yeye ni fake
 
Dadangu Fayzafoxy heshima kwako! Ninakusoma kwa muda sasa kiasi nakaribia kufikia hitimisho juu ya misimamo yako kisiasa na kijamii. Ni ukweli ulo dhahiri kabisa kwamba kuna mafungamano makubwa, tena ya enzi baina ya Chama na BAKWATA. Tukiongozwa na fikra ya ujenzi wa Afrika iliyo moja kwa mfano, ikiwa ni dhana ya kisiasa iliyoshamiri miongoni mwa wanasiasa waliopigania Uhuru nchi zao kama Dr. Kwame Nkrumah, Patrice Lumumba, na kwa unafiki Mwl. Nyerere na baadaye Col. Muammar Gaddaffi kwa kuwataja wachache, je, Jumuiya ya Kiislam ya Afrika Mashariki (EAST AFRICAN MUSLIMS WELFARE SOCIETY) haikuwa kielelezo na kichocheo cha uundwaji Afrika moja kisiasa? Kwa nini kuivunja na kuanzisha jumuiya ndogo inayoishia ndani ya mipaka ya nchi?! Utekelezaji wa dhana hiyo kwa Nyerere nimesema ni wa kinafiki kwa sababu alipinga mawazo ya Dr. Kwame Nkrumah aliyetaka nchi za Afrika ziungane kadri zinapopata Uhuru moja baada ya nyingine, naye kuja na hoja ya Muungano wa kikanda, kama Afrika Mashariki nk. ambayo haikudumu zaidi ya miaka kumi! Kati ya Nyerere na Nkrumah nani alikuwa sahihi? Tangu kuundwa kwake Bakwata imeleta ustawi kwa kiwango miongoni mwa jamii ya kiislam nchini?! Mafungamano baina ya BAKWATA na Chama hicho kikongwe cha siasa yana tija gani kwa Waislam wa nchi hii? Kwa Nyerere kiongozi wa TANU na baadaye CCM kuivunja EAMWS ilikuwa kuimarisha ustawi wa Waislam au kudhoofisha?!

Umejenga hoja nzuri sana mkuu, na umefungua mjadala wa hoja stahiki,

Dhana ya muungano ya Nkurumah na Dhana ya muungano ya Nyerere ilikuwa moja lakini ikiwa katika mapito tofauti,

Mwalimu aliuangalia muungano wa watu wa jamii za kiafrika lakini wanaostahili kuweka kando matakaba yao ya kiroho ndipo waungane,

Nkurumah aliuangalia muungano wa watu wa jamii za kiafrika wanaoweza kutumia taasisi zao za kiroho kuungana,

Hapo ndipo mgongano wa kifikra ulipokuja na hapo tunaweza kuona fikra sahihi ni zipi,

Mwalimu akaha na wazo la muungano wa kikanda kwanza kadiri afrika inavyopata uhuru, Nkuruma akaja na muungano wa afrika nzima kwa pamoja,

Hatimaye Nyerere alishinda na ili kukuza fikra zake ilikuwa ni lazima akate mizizi ya muyumbo wa fikra hizo ambao kimsingi ulikuwa ni EAMWS
 
Kwahiyo huyo,sio mwanazuoni? Je ni nani?

We huna habari huyo Mkuu wa chuo anafanya kazi ya kuchunga machizi wasiruke ukuta pale kwenye Shule ya machizi Yombo!

Kumbe unakurupuka tu bila kujua watu sio?

Huyo akiwa mwanazuoni mimi najisulubu mwenyewe km yule mzungu alivyofanya Miaka 2000 iliopita
 
Last edited by a moderator:
Jamaa mmoja aliota yuko akhera, akaona watu watu wanagawana Mabikra, msimamizi wa kugawa mabikra akamuuliza, wewe unahitaji mabikra kwani umefanya nini hata utake tukupatie mabikra?, jamaa akasema mimi niliamasisha amani duniani, yule mgawaji akasema, hawa mabikra ni kwa ajili ya waliojitoa Muhanga kwa ajili ya Allah, ikabidi yule jamaa aombe ruhusa ya kurudi tena duniani ili avae bomu na kujitoa Muhanga

Eti na yeye katoa Jokes!
Teh teh teh! Kapumbu huna lolote ulijualo, akili zako na Jina lako vinakwenda Sambamba.

Hebu soma hili andiko hapa halafu naomba unieleze kumbe huu mchezo wa mwanamme kumpenda mwanamme mwenzake Mlianza nao zamani ee?

http://newsimg.bbc.co.uk/media/imag...2649_fb3368a5-7384-4e2e-a2c9-cc9c93e15a05.jpg

Kwanza andiko linakataa halafu hapo hapo linaonyesha Waliberali Wanaelezea mapenzi yao waziwazi.

Hii maana yake nini?
Hili andiko lina laana gani?
 
Nyinyi nyote bila kujali Shia wala Sunni wote waabudu shetani tu, tatizo mko gizani na mmefungwa akili, hayo matendo yenu tu ya kuripukiana kwenye misikiti ni sura halisi ya mnaemuabudu. Pia kujiripua kwenu kumesemwa na Yesu miaka 2000 iliyopita (Yohana 16:2-4 ), Pia ujio wa mtume fake umeelezewa hapa kwa kupitia matunda yake (Matayo 7:15-20)

Dini pekee inayotoka kwa Mungu ni Ukristo, sababu ya ukristo kuwa dini ya kutoka kwa mungu ni kama ifuatavyo
1. Kuja na kuondoka kwa muanzilishi wake ni kwa miujiza, alizaliwa bila baba

2. Muanzilishi wa dini (Yesu) hii kupitia miujiza yake inaonesha dhahili katoka kwa baba Yetu

5. Ukristu ni dini ambayo imeweza kudumisha amani, kusaidia wasio Wakristo kwa njia ya Shule, Hospitali duniani kote mpaka leo, ukristo hauna jina la dhalau kwa wasio wakristo, maana wakristo wanaamini mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Baba alie mbinguni

UKRISTO SIO DINI WEWE.
Muulize Ishmael Atakwambia hilo na kila siku Anaimba huu mwimbo.

Nionyeshe Kwenya BIBILIA sehemu Yyt inayosema UKRISTO NI DINI!
AU wapi Mmeambiwa NYIE MUWE WAKRISTO!
AU Wapi Yesu alisema kuweni Wafuasi wa DINI YA KIKRISTO?

Kama Wewe kweli Una Mshipa wa kiume Onyesha andiko otherwise wewe ni km wale Mapashkuna waropokaji tu.
Huna elimu yyt basi unawashwa tu Kakende kako.
 
Sasa unaanza kuelewa kuwa Mungu haitaji dini.
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa Uislam umetoka kwangu.
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa "MIMI ALLAH NI MUNGU"
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Muhammad anasema kwa mdomo wake kuwa "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU"
Siitaji aya ambayo mtu mwengine anamsemea Allah au Muhammad.
 
Inshallah, bila shaka Allah kawaandalia zawadi hii wajitoa Muhanga

Sura 55:56
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
Kiongozi, jamaa hawezi sogea hapo.

Hawa Makafir wa Kiafrika akina kahtaan ni waoga wa kufa. Umesha wai som au sikia Mwafriak Mweusi kajilipua ili apewe Mabikira 72? Kamwe huwezi sikia. Hawa akina Ally Kombo ni waislam wa mdomoni tu, hakuna mwenye ubavu wa kujilipua ili atangulie kwenye haq,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom