Ewe Muislamu, Ikubali kwanza BAKWATA kabla ya kuihitaji Mahakama ya Kadhi

Midevu ndio Uanamme huo we pimbi!
Sio wewe kidevu lainiiii km tako.
Matokeo yake MNAOANA NYIE KWA NYIE.

Tazama Hawa Wenzako wanalambana Ndani ya KANISA.
View attachment 240529

UKIWA MUISLAMU MATAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu
Naomba ufafanuzi zaidi kama kuna ufunuo mwingine wa aya hiyo.

Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu.

Naomba ufafanuzi zaidi kama kuna ufunuo mwingine wa aya hiyo.
 
Hata Yesu aliwahi kuwatabnabaisha waumini wake kwa kuweka bayana maneno yake haya. Hebu soma Mathayo 24:4-5 Inasema Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Waliojiita Kristu wamepita wengi...na waliojiita Manabii wa mwisho wamepita wengi,wote wamelazimisha sana unabii na kujiita rahma ya dunia nao wamepita..huku wakikosa hiyo rahma.Jesus is Alpha and Omega..Mwanzo na mwisho..waliokuja wengine ni km ulivyokiri....Hata wayahudi walikataa sana Kuwa Yesu ni Mkombozi ila Muda mfupi Kabla ya Kukabidhiwa kwa Kaisari...Kuhani Mkuu bila kujijua anakiri...ALISEMA NYIE WAPUUZI KWELI HAMJUI YAMPASA KUFA MTU MMOJA KWA AJILI YA WENGINE..AKidhani anasema tuu kuwa bora afe mmoja kuliko tuuwawe wote.Hamas na wenzinge mara nyingi sana wanakiri kuwa wao wana maagano na kifo na hawaogopi Kifo,na wanaojilipua wengi wanafurahia kifo hc akujipeleka....na si kupelekwa.Mwisho km na wewe una AMINI BIBLIA BASI IMEANDIKWA OLE WAO WALIO NA MAAGANO N AKIFO NA WANAOJISIFU KUWA HAWANA HOFU NA KIFO...Naabii Isaya kayasema hayo.Kwanini pia usiendelee uliposoma pale Yesu alipongezea kuwa WATAUWA WAKIDHANI WANAMTOLEA MUNGU DHABIHU/IBADA...tunaoan Kenya,somalia,pakistani,Iraq,Uturuki,Misri etc...wewe unasemaje?Tunajua kuchagua uchawi si kwamba hawajui ila ni mapenzi.
 
Kigezo kilichotumika serikali ikawaundia BAKWATA ikawa juu yenu ndicho kitakachotumika.

Labda utujuze je ni kweli bakwata imeundwa na Serikali iwe juu ya waislam? au chombo cha kutangaza mwandamo wa mwezi kuashiria kuzna kwa funga ya ramadhwani na sikuu za Eid na sikuu ya maulid kwani niaba ya waislam wa Tanganyika?
 
Nafikiri hapo ndipo ulipo potoka.

kama yeye Yesu alikufa kwa ajili ya kubeba dhambi zako, KWANINI UNAKWENDA KANISANI KUSALI? KWANINI USIPETE TU KATIKA ULEVI NA UESHARATI wakti wewe hunaa dhambi tena.

Poole
 
Labda utujuze je ni kweli bakwata imeundwa na Serikali iwe juu ya waislam? au chombo cha kutangaza mwandamo wa mwezi kuashiria kuzna kwa funga ya ramadhwani na sikuu za Eid na sikuu ya maulid kwani niaba ya waislam wa Tanganyika?

Yote ni ndio.
 
Huu ulaghai wa ccm dhidi ya Dini hii ya Waislam utalipasua Taifa. Kwanini uwaahidi watu kitu usichokuwa na uwezo wa kuwapa? Tena mbya zaidi jambo lenyewe linahusishwa na Imani za watu, bora lingekuwa hata la kisiasa lingeweza kusahaulika kama Tulivyosahau MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.

Ccm ni lazima wajirudi wawaeleweshe Waislam kwa hakika kwamba jambo waliloahidi kuwapa IMESHINDIKANA naam Kwa kuahidi kwao walikengeuka, at least wakifanya hivyo wanaweza kusamehewa na Waislam na wasio Waislam kwa ujumla, Kuliko kuwatumia watu kama kina Mtikila kupoza joto la Waislam kwa jambo waliloahidiwa. Tukumbuke hii ni ahadi ya Dini dhidi ya Imani yao, Kwa muislam mwenye Imani thabiti Mahakama ya Kadhi ni takwa la lazima kwa mujibu wa imani yao kamwe haliwezi kuzimika kwa Vikesi uchwara kama vya kina Mtikila.

Ccm ni lazima muonyeshe njia ya kutoka kama mulivyowaonyesha Waislam njia ya kuingilia kwenye Jambo hili.

BACK TANGANYIKA
Ni jambo la kushangaza Waislaam kuikataa Bakwata kuwa ni chombo kinachoendeshwa na Serikali huku upande wa pili wanahitaji Serikali iwaundie na kuendesha Mahkama ya Kadhi. Hata serikali ingekubaliana namatakwa hayo mwishowe ungetokea mtafaruku mkubwa sana siku za usoni kwakuwa waislaam kama zilivyo dini zingine wana mathehebu mengi ambayoyanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Tenayapo madhehebu ambayo baadhi ya waislaam wanatamka bayana kuwa hayakubaliki ndani ya jumuia za Kiislaam k.m. dhehebula Ahmadiyya (Kadihani) ambalo baadhi ya Waislaam wanaona dhehebu hilo kuwa nikufuru. Wanaona ni bora kuingia Ukiristo kuliko dhehebu la Ahmadia. Je,Waislaam ni vilema mpaka serikali iwafanyie kila kitu kwa kuanzisha nakuendeleza mahakama hiyo? Je hiyoMahakama itaendeshwa kwa dhehebu gani kiasi kwamba madhehebu yote yaafiki? Je, kwaubaguzi na ugonvi usioisha wangewezajekuwa chini ya mahakama moja? Kila dhehebu lijiundie mahakama yake. Mimi sioniumuhimu wa mahakama hiyo ila suala hili linakuzwa kisiasa. Wala sio Ibada kamainavyodaiwa. Mashauri yanayopendekezwa kupelekwa katika mahakama hiyo ni yakifamilia/kibinafsi sana. Yawezekana kabisa yakaendeshwa kifamilia/ kibinafsibila kutumia nguvu za dola au jumuia ya kidini kama ilivyo sasa. Wacheni kabisakuchanganya siasa na dini kabisa. Mimi ni mwislaam safi hata kirohoni, naaminikuwa jambo hili halina chochote ila siasa tu za kuchezesha waislaam sindimba zakisiasa.
 
Hayo ndio maajabu ya Waislamu wa Tanzania
 
Ni jambo la kushangaza Waislaam kuikataa Bakwata kuwa ni chombo kinachoendeshwa na Serikali huku upande wa pili wanahitaji Serikali iwaundie na kuendesha Mahkama ya Kadhi. Hata serikali ingekubaliana namatakwa hayo mwishowe ungetokea mtafaruku mkubwa sana siku za usoni kwakuwa waislaam kama zilivyo dini zingine wana mathehebu mengi ambayoyanatofautianakwa kiwango kikubwa. Tenayapo madhehebu ambayo baadhi ya waislaam wanatamka bayana kuwa hayakubaliki ndani ya jumuia za Kiislaam k.m. dhehebula Ahmadiyya (Kadihani) ambalo baadhi ya Waislaam wanaona dhehebu hilo kuwa nikufuru. Wanaona ni bora kuingia Ukiristo kuliko dhehebu la Ahmadia. Je,Waislaam ni vilema mpaka serikali iwafanyie kila kitu kwa kuanzisha nakuendeleza mahakama hiyo? Je hiyoMahakama itaendeshwa kwa dhehebu gani kiasi kwamba madhehebu yote yaafiki? Je, kwaubaguzi na ugonvi usioisha wangewezajekuwa chini ya mahakama moja? Kila dhehebu lijiundie mahakama yake. Mimi sioniumuhimu wa mahakama hiyo ila suala hili linakuzwa kisiasa. Wala sio Ibada kamainavyodaiwa. Mashauri yanayopendekezwa kupelekwa katika mahakama hiyo ni yakifamilia/kibinafsi sana. Yawezekana kabisa yakaendeshwa kifamilia/ kibinafsibila kutumia nguvu za dola au jumuia ya kidini kama ilivyo sasa. Wacheni kabisakuchanganya siasa na dini kabisa. Mimi ni mwislaam safi hata kirohoni, naaminikuwa jambo hili halina chochote ila siasa tu za kuchezesha waislaam sindimba zakisiasa.

RWEYE1,

Nilitaka nikusaidie kidogo hapo. Tofauti za waislam sio tu Tz bali dunia nzima ni ndogo ndogo tu ambazo ni rahisi sana kuzimaliza kwani waislam madh'hebu yooote wanakubaliana katika mambo ya msingi ambayo ni SWALA, FUNGA, HIJA, SWALA YA IJUMAA, SHAHADA. Ila wanatofauti katika mas'ala madogo madogo tu.

Hilo linamuwezesha muislam yoyote duniya nzima kuweza kuswali msikiti wowote duniyani na hata sheikh wa Buguruni huko Tanzania au Buseresere kule geita kuweza kuongoza Swala katika msikiti wa Hatagaya Tokyo Japan au Welsten wa Port of Louis, Trinidad japo hajui kimombo au kijapan. Jambo ambalo ni muhali kwa Mchungaji toka Kanazi kule Biharamulo au Potwe kule muheza kuweza kuendesha SALA pale MG road bangalore India au KANO Nigeria.

Ukilinganisha na wenzao wakristo ambao wana tofauti kubwa sana tena tofauti za msingi kabisa mfano SALA ya RC ni tofauti kabisa na SALA ya Walutheri, waanglican, SDA au walokole au Protestant kijumla. Mtu wa Anglican hawezi kusali RC au makanisa mengine nje ya kanisa lake.

Kuna waumini wa Kikristo wanaabudu siku ya Ijumaa pili kama RC, Anglican, Lutheran n.k na kuna madh'hebu mengine yanaabudu siku ya Ijumaa mosi.

Na tofauti nyingine kama sherehe za pasaka na X mas na tofauti nyingi tu. Lakin pamoja na tofauti hizo wameungana na wameweza kujipanga na kuweka mambo sawa na kuungana.

Mimi nafikiri wakristo hawana sababu za kuangalia tofauti za waislam kwani za kwao ni kubwa sana sana. LA MSINGI NI KUWAPA HIZO MAHAKAMA ZA KADHI AMBAZO ZITAGHARAMIWA NA WAISLAM WENYEWE BILA KUINGILIWA NA SERIKALI KWA LOLOTE NA HAPO WAISLAM WENYEWE WATAANGALIA NAMNA YA KUJIPANGA NA KUWEKA UMOJA UTAKAOTOA MUONGOZA NAMNA YA KUZIENDESHA KAMA LILIVYO SUALA LA NDOA KWA SASA HUKO TANZANIA.

Mada kuu hapa ni kuanzishwa kwa Makaqama ya Qadhwi chini ya waislam wa Tgk na sio BAkwata. Waislam wenyewe kwa juhudi na umoja wao watajipanga namna ya kuziendesha.

Ondoleaneni chuki na vijicho na vijiba vya roho katika kuombeana kheir na mpendeleane kwa haki na dhati waTgk kwa ajili ya muumba.

Hayo ndio maajabu ya Waislamu wa Tanzania

YN,

Hilo ni moja ya Tatizo wa wa Tanzani hususan kutoka Tanganyika ni chuki, husda, roho mbaya , ubinafsi, ufisadi, umimi n.k na ndio uliowafikisha hapo mlipo hivi sana.

Kwani mpo toyari mkose maendeleo wote ili fulani asinufaike.

Nyerere aliwahi kusema '' mtagawana kile kidigo mlichonacho" akimaanisha Umasikini na SIO kugawana sawa sawa fursa, utajiri na rasilimali za nchi yenu kwa usawa.

Hali sasa ya Tgk inazidi kuwa tete kiuchumi tunaseema ni kwa sababu ya GAP baina ya Tajiri na Masikini linazidi kukuwa siku hadi siku na ndio maana wizi, ujambazi, ufisadi na mengine yanatokea. Msitafute mchawi ni vijiba vya roho vyeni ndio vinawasibu.

Poleni sana.

Back
Top Bottom