Ewe Muislamu, Ikubali kwanza BAKWATA kabla ya kuihitaji Mahakama ya Kadhi

Akili za mtu changanya nazakwako....waislam hatulazimishwi kumuabudu binadam mwenzetu kwahio hiyo bakwata nahao mashehe wao ni watu kama mim nawawez kukosea pia.....mahakam ya kadhi tutaipata ila sikutoka kwa wanasiasa ama bakwata....nawanasiasa namaanisha wote c kutoka chadema cuf ama ccm
Umeona mbali sana mkuu
 
Hii taasisi imeshasemwa sana na waislam na wanajua kuwa waislam wameichoka ila nayo kwa kuwa inaongozwa na watu majasusi maalum basi huwa haisikii na wanahakikisha tasisi hio inavunja kabisa nguvu za waislam kujitanua kielimu na kiuchumi
Inahakikisha kuna kuwa na utengano
Wanahakikisha maelfu ya mali na nyumba na viwanja wana viuza kuweka fedha mfukoni na serikali itawalinda majizi hawa kama wana vomfanyia Ponda sasa hivi kumweka ndani bila ya sababu kisa amehoji wizi wa bakwata
Na kitu kimoja ambacho waislam hawata msamehe kikwete ni hili la kuwatia ndani masheikh wetu kwa shinikizo la bakwata na makanisa yeye ana dhani akifanya hivyo wata support uongozi wake kumbe wana mcheza shere na wanamsubiri aondoke watoto wake wasukumwe mahakamani kwa ubadhirifu
Kwa ufupi bakwata ni wezi
Hawajitambui
Hawaan vision
Ni majasusi
Hawana hilaki za kiislam
Wabadhirifu
Hawajui uislam na kiongozi wao kaokotwa mitaani tu hana elimu yoyote ya uislam wala dunia ni mbumbumbu
Hawajui siasa za ulimwengu
Hawakubaliki
Wachoyo na wafitinishi

Waislam hawawezi kufata taasisi hio hizo sio sifa zao bali hii ni taasisi ya serikali kuwadhibigi waislam wasiweze kufanya maendelo yao

Lakini hili likitokea waislam hawakosi lawama kwa hali hii, wana jukumu la kuipinga kwa nguvu sana lakini waislam wengi wasomi na wale walioko madarakani au ukubwa hawajali haya mambo na wamebaki tu kulalama. Hata wabunge wa waislam wamekua always kama magoi goi hawana lolote wafanyalo kutetea waislam bungeni na nje
Kuhusu hili la kadhi wabunge hao kiduchu waliopo wapo kimya hawana msaada wowote kwa waislam wenzao
Utashangaa wabunge wanaolipinga bakwata bungeni ni wa kutoka zanzibar ambao haliwahusu lakini hawa tanganyika nao wapo tu hawajiujui wala kujitambua kuwa dini ina ushawishi mkubwa katika siasa na wenzao wanafanya kazi ya kuweka mslahi ya dini yao bungeni wabunge wetu wao wanaitumia bakwata kuingiza mchele na sukari bila ya ushuru na kuwasaidia wafanya biashara ili wakwepe kodi hiku wakipewa bijisenti na wafanya biashara hii ndio uzuri wa bakwatA kwa wabunge wafanya biashara

Hivyo bakwata ni hovyo kabisa haifai hata kuongoza chekechea haikundwa na waislam na sio ya waislam

Kwamaelezo yako hapo juu, je bado unaidai serikali hii inayoitambua na kuiheshimu BAKWATA ikupeni mahakama ya kadhi?
 
Maswala ya waislam ayakuhusu kabisa kaa mbali nenda kanisani ukatawalie na mamuzi ya askofu

Tatizo lako hujui kipi unataka na kipi hautaki .....Tambua kwanza Bakwata,Tambua mahakana ya kadhi halafu kisha baada ya hapo Tambua uhusiano utakaojengwa kati ya taasisi hizo mbili ndo uendelee ku-comment

NB:Acha jazba
 
Inapofika Issue ya Kadhi ndani Uislam kunamgawanyiko wao kwa wao Suni wanaona kama hii nahakama si dai lao kuu kwani kuwepo kwa mahakama hiyo itasimamiwa na BAKWATA ambao wao wanaiona si chombo chao cha kuwqkilisha waislam.

Hata hivyo Suni wanaushawishi mkubwa sana kwa waislam ndiyo wanao simamamia vyombo vya habari kama tv, Radio na Magazeti.

Pia Suni wanajua BAKWATA wakipewa kusimamia hii mahakama basi Suni watakuwa na wakati mgumu kwani hawataweza tena kutangaza mwandamo wa mwezi kwani kufanya hivyo watajikuta wameingia kwente kosa la jinai.

So mahakama ikiwepo suni wanaona itawashughulikia wao zaidi hivyo kwao si suala.

Kama ccm wanaakili hiki mahakama hii inatakiwa umakini mkubwa kuianzisha kwani huenda ikawagawa kabisa waislam wenyewe kuliko kuwasaidia.
 
Kwamaelezo yako hapo juu, je bado unaidai serikali hii inayoitambua na kuiheshimu BAKWATA ikupeni mahakama ya kadhi?

Sio rahisi kupata kile kinachokusudiwa.
Hii serikali haitoweza kuwafanyia wema huo waislam bali wataunda kitu chengine na kuwaka bidhi mafisadi wa bakwata
Mahakimu wa mahakama hii ni wahitimi wa sheria kutoka vyuo vikuu na sio masheikh wa bakwata lakini inainekana kazi hii watapewa bakwata turudi tena kule kule kulipinga kumbe adui wetu ni anae lilinda
 
Si kila anayesema ni kiongozi wa dini kweli ni kiongozi wa dini. Hiyo ipo kwa wote, wakristo na waislam. Gwajima, anayejulikana zaidi kama Mzee wa Misukule, kwangu mimi huyu hana tofauti na waganga wa kienyeji wanaodai wana uwezo wa kuwarudisha wafu.

Kazi zake haziendani na uwepo wa Mungu wala roho Mtakatifu. Daima nitamwamini Mungu wa Kweli na Mitume wake wa Kweli ambao tumeaswa kuwa tutawatambua kwa matendo yao.

Umetekenywa na Dada Nyakageni na wewe ukatekenyeka!

Gwajima anamuita kadinali wako MPUMBAVU na Mjinga! Na pia ktk Hotuba yake amesema Kuna WAKATOLIKI na WAKRISTO.

Sasa wewe mkuu wa chuo cha machizi umekaa kimya Je unakubaliana na Gwajima?
 
Tatizo lako hujui kipi unataka na kipi hautaki .....Tambua kwanza Bakwata,Tambua mahakana ya kadhi halafu kisha baada ya hapo Tambua uhusiano utakaojengwa kati ya taasisi hizo mbili ndo uendelee ku-comment

NB:Acha jazba

Naijua bakwata sana sio kama ww una
 
Sio rahisi kupata kile kinachokusudiwa.
Hii serikali haitoweza kuwafanyia wema huo waislam bali wataunda kitu chengine na kuwaka bidhi mafisadi wa bakwata
Mahakimu wa mahakama hii ni wahitimi wa sheria kutoka vyuo vikuu na sio masheikh wa bakwata lakini inainekana kazi hii watapewa bakwata turudi tena kule kule kulipinga kumbe adui wetu ni anae lilinda

Kwamara ya kwanza umesimama wima mkuu, asante sana kwakuongea ukweli ulio moyoni mwako.
 
Mkuu Barubaru

Unajichanganya sana, unakiri kuwa BAKWATA haifanyi kazi za uislamu kwa uwazi wa muislamu bali ni inafanya kazi kwa maslahi ya Serikali.

Wakati huo unaipigia magoti serikali hiyohiyo kuwa ikupatieni mahakama ya kadhi, hivi huoni ikiwa serikali itaamua kuwapeni itaikabidhi BAKWATA inayoaminiwa na serikali kuwa ndicho chombo cha usimamizi wa uislamu ili kiisimamie??

Kwaujumla majibu yako kwa hoja yangu bado ni mepesi na ya mihemko zaidi.

Tulia mkuu jibu hoja zangu!

Yericko,

Mimi nafikiri umeghumiwa kiasi cha kushindwa tambua kuwa Tz ni nchi inayoendeshwa kwa Rule of Law (Utawala wa sharia)

Kwa kuwa wewe ni mwanasiasa tena una imani na CHADEMA. Basi nikakupa mfano hai kabisa kuwa JE KUNA USAJILI TOFAUTI KUPITIA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA HUKO TZ BAINA YA CCM NA CHADEMA?

Kila kukicha wapinzani wakiwemo CHADEMA wanalalamika kuwa CCM na Serikali yake wanacheza rafu na kutumia wingi wao kupitisha miswada bungeni kama ulivyopitishwa jana kibabe muswada wa habari za Takwimu. Sasa jiulize je muswada ule ukipita utawaumiza Chadema au wapinzani pekee yao au wananchi wote kwa ujumla wao?

Kumbuka kuwa Bakwata ina usajili sawa sawa na TAMPRO, BARAZA KUU , AYAT ALULAMY etc. Hivyo serikali haiwezi kutunga sharia kisha kuwakabidhi BAKWATA meno. Je watatumia kigezo gani kuwakabidhi hao hilo jukumu la mahkama ya Qadhwi?

Mimi nakwambia japo nimeondoka siku nyingi huko Tz (zaidi ya 24 Yrs) Bakwata kazi yao kutangaza mwezi wa mwandamo wa kufunga ramadhwani, na kutangaza siku za Eid na sikuuu ya maulid na kuhudhulia sherehe na hafla za kitaifa ikiwa pamoja na dhwifa. Nje ya hapo hata wenyewe wanalijua hilo hawana nafasi katika Uislam wa wananchi wa Tanganyika.

Fanya kidogo reaseach jiulize lini Bakwata walitangaza muhadhwala au hata mchango (harambee) ukaona inafanikiwa ukilinganisha na taasisi zingine za waislam?

waulize waislam wa huko watakujuza.

Usikae kujipa matumaini ya kujifariji na kujidanganya kwa hilo la BAKWATA.

Pole sana.

 
Waislamu nusu ni wanaoiunga mkono BAKWATA, na kinyumbe chake!

Labda nikupe uzoefu wangu. BAKWATA wafuasi wake ni viongozi wa Serikali tena kwa kulazimishwa kuswali swala za EID katika swala inayoongozwa na BAKWATA na kuhudhuria makongamano yao. hayo mimi nimeyaona nilipokuwa kiongozi mwandamizi wa level ya mkoa.

Lakin nje ya hapo Bakwata haina wafuasi ukilinganisha na taasisi nyengine. Fanya utafiti utaligundua hilo. kabla ujakurupuka na kujenga na kuleta hoja za kichovu au za kupiga debe kwa BAKWATA.

 
Mkuu mi mkatoliki lakn sometimes naenda kusali Lutheran au AIC na mda mwingne napiga naingia adi kwenye makanisa ya kilokole,inawezekana Kakobe na Gwajima hawawez kwenda kusali huko kutokana wao ni viongoz wa madhehebu flan lakn kwa waumini wengi wanajichanga kwenye makanisa tofauti
Kwa maana hiyo unatenda tofauti na maelekezo ya viongozi wako, na hapo ndipo chanzo cha tatizo. Katika kumtafuta na kumjua Mungu kunatakiwa uhuru na sio kulazimishana fikira hata zilizo potofu.

 
Kwa maana hiyo unatenda tofauti na maelekezo ya viongozi wako, na hapo ndipo chanzo cha tatizo. Katika kumtafuta na kumjua Mungu kunatakiwa uhuru na sio kulazimishana fikira hata zilizo potofu.


Mkuu viongozi wangu hawanikataz kwenda kwenye makanisa mengine,hiyo peke yake inanifanya niwe huru kumtafuta Mungu wa kweli
 
Imepitwa na wakati? Nani kasema hayo! Au mwanachadema MAGUNJA! Chama kimeanza kubaki na viongozi wa Kaskazini tupu. Very soon utaanza kuona mbege kila kikao. We subiri tu
Km Mbege mtaikubali na kuwa togwa yenu nani awanyime?Mbona uvivu wa mwarabu mmeuchukua, mbona rap, milegezo mmechukua?Kwa taarifa yenu Kuna mengi sana mnakosa kwa wachaga kuliko mnavyopoteza muda kuwashambulia.Km wachaga wangekuwa km nyie basi ujensi waliofanya ktk mikoa mingine wangekusanya Kilimanjaro.Ni wazi leo mngekuwa mmewekewa fence za umeme na camera msizamie.
 
Last edited by a moderator:
Kufeli ni ni accelerator ya mafanikio kwa mwenye kujuwa. Sitegemei hilo unalielewa kwa sababu ushajiamini kuwa wewe ni failure na hauna chako. Majengo hayo hayo ndiyo tuyatakayo, leo Waalimu wa art kedekede na kuanzia mwakani tunakamilisha waalimu wa Sayansi, sasa hivi umeme unawekwa shule zote zisizo na umeme, wanafunzi waanze kusoma kwa njia ya mtandao. Kikwete Mwenyeezi Mungu amzidishie, hakuna wa kabla yake aliyemfikia hata 10% ya mafanikio yake. Na mahasidi mtakufa navyo vijiba vya roho. Roho zitawauma sana, kama mnaweza pandeni juu mwende mkazibe!
ok mtaalamu lugha "KUJUWA"...well.tuache hayo.Wewe mwanamke mbona unapenda sana kwenda nje ya mada.Kwanini usipoteze muda kuelezea wapi Bakwata imeshindwa kuteka nyoyo za waislam,wapi waislam wameshindwa ibadili kwa kushirikini kuiboresha.Na nini kitasaidia mapungufu ya Bakwata yasihamie ktk hiyo mahakama.Au kwanini waislam hawawezi kuwa na uongozi madhubuti kuweza iendesha hiyo mahakama kwa haki na weledi kwa kiasi cha kuiaminisha kwa waumini wote .Kwa kiasi cha kuwafanya waumini waweze peleka mashitaka kwa imam wao kwanza ,na Imam huyo awe na success rate kubwa ya kufanya maamuzi ya haki ambayo watu wataridhia kwa haki na kumaliza hayo mashauri.Shida kubwa ni kwamba Imam wengi wana issue na waislam ktk maeneo yao.Na waliobaki wana issue kubwa sana ktk mahusiano ya serikali na Waislam.sasa hizi hishi mahakama ya kadhi yenye ulaji itasimama vipi?
 
Back
Top Bottom