Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

Ewe Joshua Nassary, Godbless Lema amekukosea nini?

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
18,925
Reaction score
13,279
Kipindi cha kampeni za Ubunge Arusha, ndio kinafikia ukingoni, toka uliposhinda ubunge Arumeru hukuwahi kukanyaga Arusha Mjini!

Sasa hivi hutembei na gari lililo na bendera wala rangi yeyote ya CHADEMA, Unaingia mjini Privately na kuondoka Privately! Kila mtu anashangaa! Je? Huyu ndio yule Nassary aliyesapotiwa na LEMA kuingia madarakani au? Butwaa limempata kila mtu!

Ukipigiwa simu na LEMA au timu yake hupokei! Watu wanajiuliza, Nassary umepatwa na nini?

Je ni fedha, Je umerubuniwa? Je CHADEMA imekuudhi? au ni LEMA? Joshua Nassary Jirudi uendeleze mapambano, fedha sio kila kitu!

Hebu tuweke wazi! Wana Arusha mjini tumekwazwa sana na hili! Japo bado tutamchagua LEMA awe Mbunge wetu!

VIVA LEMA, VIVA CHADEMA, VIVA ARUSHA MJINI!

Lazima kieleweke!!!!!
 
Nilikuwa naye majuzi pale Njeres Club USA RIVER alikua yupo yupo tu!! Labda mmemkwaza dogo janja!!!
 
mhh!!!! pole nassary washaanza wanazani ww jecha
 
Alinichefua sana alipowasifia polisi na kudai uchaguzi ulikuwa huru na haki kisa kashinda ubunge,,stupid bogus atimuliwe kwenye chama
 
Sikuwahi kumfukunyu Nassari kwenye uchaguzi mkuu uliopita kwa kuwa alikuwa ni mbunge kijana anayejitambua.

Nassari alianza kuiga mihemko ya Lema lakini kwa ushauri wa washili alijituliza.

Nassari ametumia muda mwingi jimboni kwake na kufanya maendeleo badala ya maandamano.

lema anapigwa chini Arusha!
 
Kuna question marks nyingi sana ndani ya post yako .. inaonekana we mletamada hujui unacholeta hapa.kafie mbele
 
Nassari tafadhali kama unasoma hapa usiwaangushe chadema hata kama mtu kakukosea mbebeane mizigo samehe songa mbele
 
Hakukubaliana na ujio wa Lowassa CHADEMA alikuwa anawaunga mkono kinafiki ili ashinde ubunge tu. Sasa ameonyesha his true colour.
 
Haaaaaa makubwa

Yangu macho

Mwacheni awwaendeleze wananchi wake
 
Mnalaumu bure tu, si Arusha ni Ukawa sasa wa nini Nassary kufanya kampeni
 
Back
Top Bottom