Ewaa, hatimaye nimelipa kisasi... Full shangwe

Sasa wewe ukiniona fala unafikiri mimi napingukiwa nini? Endelea kuniona fala hivyohivyo ila mimi nimeshalipa kisasi,bila shaka mwizi wangu utakuwa wewe,kamkague mkeo
 
Umeenda kutupa DNA yako kwa sababu ya kulipa kisasi cha kijinga?
 
umekosea unatakiwa uchukue kabisa ili awe wako kama wewe na mke wako hamjaona
 
Pole sana mkuu bado mtoto weye
 
Kwa hiyo umefurahi kwenda kinyume na maandiko Matakatifu yanayosema tusilipe kisasi?
 
Wewe ni mjinga sana huwezi kuelewa hata nikikuelewesha na sina muda wa kupoteza kujaribu kukuelewesha.
Chizi wewe usijifanye mtabiri,au unataka ujue kila kitu kuhusu mipango yetu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…