Evolli ni brand ya kampuni ya Dubai inaitwa masa trading Dubai.Evvoli brand nzuri sana na sio chinese mnavyofikiria,mtengenezaji wake ni italy na kuna vitu vingi anatengeneza kama majiko bora ya umeme,microwave,friji nk
Evvoli ni kutoka Italy. Sio mchina.
China Wana assembly Tu kama iPhone.
Evvoli Kuna ya inch 43.
Smart TV
4k
Used 1 month
Bei 600,000
Maongezi yapo
Ipo Dar es Salaam
View attachment 2332067
Na mimi najua pipi inaitwa Ivory..hiyo Evolli sijawahi kuiskia.
umeongea point sanaWewee..!!
Hakuna bidhaa inayotoka Uropa, haya maTv yanafyatuliwa China kisha huko uchochoroni yanabandikwa lebel za kampuni za tv
Kuna tv zinaitwa MO electro, ni bidhaa ya Mo Dewji,,,, sasa jiulize Mo Dewji ana kampuni/kiwanda cha kutengeneza Tv!????
Akili kumkichwa..!!
hii ndio jf bhana unakula kofi la uso ukishtuka mtamaZiko vizuri tu na bei ni nafuu
Ni kampuni mpya, ni kama unavyotumia simu infinix note 10 mwingine Samsung Galaxy Note 10
Infinix note 10 ehZiko vizuri tu na bei ni nafuu
Ni kampuni mpya, ni kama unavyotumia simu infinix note 10 mwingine Samsung Galaxy Note 10
Katupiga kitu kizito sana na sensa hiihii ndio jf bhana unakula kofi la uso ukishtuka mtama
Hakuna cha Italy hiyo ni mizigo ya china,Masa trading ndio wasambazajiEvorry kutoka Italy
Hakuna Italy hapa, Hizi zote ni piece of crap za mchina,uliskia wapi Masa trading anasambaza tv za Italy? [emoji2]Evvoli ni kutoka Italy. Sio mchina.
China Wana assembly Tu kama iPhone.
Evvoli Kuna ya inch 43.
Smart TV
4k
Used 1 month
Bei 600,000
Maongezi yapo
Ipo Dar es Salaam
View attachment 2332067
Huyo ni mchina boss,kaa kitalamuEvvoli brand nzuri sana na sio chinese mnavyofikiria,mtengenezaji wake ni italy na kuna vitu vingi anatengeneza kama majiko bora ya umeme,microwave,friji nk
Ndo hivyo Bongo ukae kitalaamu sanaKwahio bongo ni kuruka na mchina tu, maana hata brand kubwa nasikia tunauziwa copy
Hizi hisense za bongo unazionaje? Au nazo ni za mchongoNdo hivyo Bongo ukae kitalaamu sana
we jisifie tu lakini jua macho mnayaharibu kwa hizo tv zenuNina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu.
Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwanini watu wengi humu mnajificha kweny durability tu ,tv ni zaidi ya durability [emoji2]Nina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu.
Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Bora hizo ,kama budget ndogo angalia TCL na HisenceHizi hisense za bongo unazionaje? Au nazo ni za mchongo