Edokay
Member
- Mar 8, 2017
- 25
- 32
Habari wanajf..
Katika maisha ya kusoma kuna hii topic ya "Evolution of man, Technology and Environment". Kwanza kuna nadharia mbili;
1. Theory of Creation- hii inazungumzia asili na chimbuko la mwanadamu ni kwa kuumbwa na Mungu.
2. Theory of evolution of man- hii inazungumzia kuwa mwanadamu ametokana na mabadiliko ya hatua mbalimbali ( nyani mpk binadamu wa leo).
Maswali:
1.Je, mabadiliko ya mwanadamu bado yanaendelea mpk sasa?
2. Kama tumetokana na nyani, vipi kuhusu rangi mbona tunatofautiana duniani ( weusi na weupe)?
3. Je, kama Mungu alituumbwa kwa mfano wake ina maana Mungu ana rangi tofauti tofauti?
4. Je, theory gani inajitosheleza kuelezea chimbuko na asili ya mwanadamu?