Hii inanikumbusha kwenye kile kipindi cha wema,alienda kwenye show ya Skylight band,akaja mwanamuziki mmoja wa hiyo bendi mpaka pale alipo wema huku akiwa anaimba.Walikuwa wanatizamana uso kwa uso kwa ishara yule jamaa alitaka wema acheze.Wema alipoanza kucheza aligueka na kumpa mshkaji kabang bhana.